DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Yaani ni kama walikata tamaa kuja na tamasha zuri. Sauti mbaya ya muziki, performances mbaya. Halafu headliner unaleta msanii anayeimba nyimbo kwa ajili ya mashoga zake.Tamasha baya kama jezi zao
Kwa hiyo jamaa ndani kavaa bikini?
Kwa hiyo wanetu wa Utopolo mmeamua kuleta hadi mashoga!
View attachment 3470526
Wanaume tutafute hela huu ni udhalilishaji kmmmk
PatheticJamaa ni ***** inasikitisha kuona majirani wanapigia chapuo vitendo vya ushoga
Kumbuka kuna wale wanachama wa ccm 5000 waliopewa jezi bure na kuwekwa mbele kabisa kusubiri cm ya mama alafu wapige kelele😆😆Leo wakiitikia nitajiudhuru kushabikia Yanga!
Ahueni Zuchu amejitahidi pamoja na yule D-Voice.Mpaka saahizi umeonaje?
Kiupande wangu wakimrudisha Marioo,ITABAMBA SANA
Marioo ni bonge la mtu halafu nishabahatika kushinda naye siku kadhaa kwenye project Moja hivi jamaa ana mapenzi sana na Yangq
Sipati picha aendelee kuimba kwa dakika zingine 10. Wanaweza kumfukuza huyuUtopolo day ya hovyo kuwahi kutokea….mfukuzeni Zuchu hapo kwa jukwaa….mshaibiwa mpaka sasa 😂
Dvoice kajitahidiAhueni Zuchu amejitahidi pamoja na yule D-Voice.
Wazee mnaleta mashindano mmesahau Yanga ni timu ya mpira tamasha la leo ni kutambulisha tu wachezaji pia kuweka umoja mashabik na management basi ayo tu.Kwa haya ndio walitaka walifunike tamasha la Simba day kweli?[emoji23]
Msala gani kakutana nao mwanetu?Tate Mkuu
Tafadhali angalia PM yako
Nadhani ni gawio la sept limetoka 🤣🤣Msala gani kakutana nao mwanetu?
HahahahNadhani ni gawio la sept limetoka 🤣🤣