FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Natamani hata huku JF, ikatazwe brah brah, kama TFF walivyo piga biti WASEMAJI WACHEKESHAJI!
 
Kitakuwa ni kiherehere tu bila shaka. Na hii kitu huwa inapoteza kabisa maana ya uzi husika. Imagine mtu anaanzisha uzi saa sita ya usiku, na wakati mechi inachezwa saa moja jioni!!
Sidhani kama ni sahihi kuwaita waanzisha nyuzi za mechi ni viherehere. Wanaanzisha nyuzi mapema ili kupata wasaa wa kujadili mechi husika.
 
Yanga hawataingia vyumban
Tff watalipwa faiiiini

Simba wataingiza basi kinyume nyume

Bet kama ziiko kampun zenu

Hela hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…