Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Viungo na washambuliaji wote wamerudi katikati na kulinda. Yawezekana ni plan ya kocha ila wanaharibu match. Wakibadilika hii match Simba wanashinda
Sidhani Kwa sababu Simba ndio anahitaji ushindi maana dro Yanga bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…