Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

 
Malalamiko fc mmeanza!!!
Hahaha msimu huu malalamiko fc wanajulikana mbona, tena walianza mapema sana hata kabla ligi haijaanza, mwanzoni timu zilikuwa zinaikamia sana utopolo ila baada ya ushindi wa jana tutarajie mashambulizi kuhamia unyamani
 
hata yanga pia katunza nguvu kwa ajili ya nyau ko hii inaitwa collaboration
 
Leo wamefunga goli la mkono na wanashangilia.
Ulitakaje kwani bwana mbumbumbu? Tulishakubaliana kwamba atutoitaji malalamiko ya namna yoyote yale kutoka umbumbuni kwakuwa wakati yanga imeyumba kidogo mlifunga mabakuri yenu na kufurahia,,sasa Kila timu ishinde mechi zake inavyoweza tutaona mwisho wa msimu timu Bora ni ipi itayobeba ndoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…