Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
- Thread starter
-
- #101
Waamini utatu wote mnashida ya akili kichwani nijibuni hapa
1.kati ya Mungu baba na Yesu nani ni mkuu
2.Ikiwa Yesu na Mungu wapo sawa iweje asijue habari za siku za mwisho ila baba tu
3.Ikiwa wapo sawa iweje mwingine amtume mwingine na awe answerable kwake?
Kwa hiyo Yesu alimsaidia mama yake apate mimba yake mwenyewe?Bikira Maria alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakifu ,
Mathayo 1 : 18 " Basi, hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mjamzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. "
π Weka pdf humu tunaopenda kusoma tusome hizo simuliziMimi nina SIMULIZI ya jamaa aliyefanya kila aina ya miujiza kumtafuta MUNGU akihusisha UCHAWI wa aina wote ulopata kuhusikia hapa DUNIANI
alifika kila pembe ya DUNIA
kumtafuta MUNGU
alifika mpk katika SAYARI zingine kuonana na VIUMBE walopata kuishi kabla ya ADAM
Yaan maana yake Yesu alimtia mama yake mimba maana yeye si ndio Mungu au imekaaje hii ifafanuliwe?Kwa hiyo Yesu alimsaidia mama yake apate mimba yake mwenyewe?
Wewe unaweza ukampa mimba ya mama yakoKwa hiyo Yesu alimsaidia mama yake apate mimba yake mwenyewe?
Nikuulize ww unaeamini u3Wewe unaweza ukampa mimba ya mama yako
Mpe mimba kwanza mama yako , alafu nitakujibu swali lakoNikuulize ww unaeamini u3
Kwa hiyo mungu alikamatwa na wanadamu wakamtemea mate na kumsulubisha.... Asee haya mambo hayahitaji elimu kubwa kutofautishaYaan maana yake Yesu alimtia mama yake mimba maana yeye si ndio Mungu au imekaaje hii ifafanuliwe?
Wewe huna uwezo wa kuelewa a simple logical argument kwa hivyo sioni faida kujadiliana nawe.
Unapenda kujadiliana lakini huwezi.
Nakuelezea a simple flow of logical propositions na conclusion lakini huelewi.
1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hana uchoyo, anagawa mazuri na hagawi mabaya.
2. Mtu kukosa akili ni kitu kibaya.
3. Mungu huyo hataumba ulimwengu unaoruhusu mtu kukosa akili.
4. Hivyo, tukiona mtu amekosa akili, hilo linamaanisha Mungu huyo hayupo.
5. Tunaona watu wamekisa akili.
6. Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Sasa hapo kipi kigumu kuelewa?
Hata nikimpa mama yangu siwezi kuzaliwa mimi, atazaliwa mwanangu, mbona rahisi tu.Mpe mimba kwanza mama yako , alafu nitakujibu swali lako
Sema kama huwezi , nikusaidieHata nikimpa mama yangu siwezi kuzaliwa mimi, atazaliwa mwanangu, mbona rahisi tu.
Tatizo lako hujui kwamba!; Huyu Yesu ni MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI!Mathayo 3:16, 17 inakuumbua, inawezekana vip mungu huyo ajisemee mwenyewe huyu ni mwanangu mpendwa kwanini asengesema Mimi mungu wenu mpendwa nipokeeni.....?!!
Hahahaaa dalili za kushindwa hizoSema kama huwezi , nikusaidie
Kwa hiyo biblia ni fumbo, haieleweki? Yani ww unaijua kuliko alieiandika? Imetosha bossTa
Tatizo lako hujui kwamba!; Huyu Yesu ni MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI!
Sasa unahoji Yesu Akiwa ktk Hali yake ya Ubinadamu KAMILI!
Ref!; John.1:1-3 than John.1:14
Nikutibitishie ww nani??Hujathibitisha Mungu yupo.
Kiukweli watu wanaisema Mungu yupo ndio wana kiburi.
Wamejiwekea kiburi cha kusema wanajua chanzo cha ulimwengu, na chanzo hicho ni huyo Mungu wao.
Sisi tunaobisha ni watu wanyenyekevu sana.
Tunajua ulimwengu ni mgumu sana kuuelewa, tumejishusha kwa unyenyekevu tukisema kwamba ulimwengu huu maswali yake ni makubwa sana, na hili jibu jepesi la Mungu ni kiburi, tena cha kijinga.
Unyenyekevu wetu unatutaka tukubali hatujui majibu, tufanye uchunguzi kujua majubu zaidi kuhusu chanzi cha ulimwengu, maisha na kika kitu.
Kwa hivyo, you have it backwards.
Watu wanaosema wao wanamjua Mungu ndiyo wenye kiburi.
Sisi tunaohoji hii imani na kutafuta majibu ya kina ni wanyenyekevu sana, tunajua ulimwengu una maswali magumu yasiyotaka kukurupuka kwa kutoa majibu ya kiimani ambayo hayapi kwenye research.
Yaani panahitajika akili kubwa sio akili ya upigaji kuelewa hili jambo, wakamtundika uchi mchana kweupe Mungu kasulibiwa na wanadamu, Mungu alimwezesha Daudi kumuua Goliath alimwezesha Samson kuwamaliza wafiristi kwa mkono wake ashindwe kuwafyeka mafarisayo na masadukayo, Mungu anakufa kifo cha aibu, ulisikia wapi Mungu anakufa?Kwa hiyo mungu alikamatwa na wanadamu wakamtemea mate na kumsulubisha.... Asee haya mambo hayahitaji elimu kubwa kutofautisha
Kwa Sasa hapa duniani Kuna Yesu wawili Yesu fake ambae ni garasa halijawahi kuwepo na Yesu originalWana wa Israel, sorry Israel ni nani? Yakobo?
Chanzo Yesu kuitwa Mungu,
Waisrael hawajakisahau kilichowapa kule jangwani walipitishi nyoka wenye sumu kali na Mungu alitaka awafyeke wote wasiomuamini, kwa hio Mungu ni Yesu? Yule aliewashughulikia waisreal jangwani miaka 40 ni Yesu? Ndio maana wakagoma wakaona wabaki na Torah yao tu, wasijisumbua na wakina Paulo
Haya mambo hayapo kwa akili za kibinadamu... Ndo maana hata Jina Yesu kwa kiingereza ni Jesus.. Lakini Imani yako ndo itafanya mapepo yatoke hata ukimuita kwa kiluga chenu.. [emoji23][emoji23]Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
πππPaulo amekuingizeni chaka