petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
Waraka 1 wa Yohana 5:8
Waraka 1 wa Yohana 5:8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namjibu na huyu aliyé andika![emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Paulo kaingiza watu chaka bovuPaulo amekuingizeni chaka!
Sio rahisi kujua fundisho la utatu kwa mtu anayeona giza katika mwanga. Bali yule anayeona mwanga katika giza, ni rahisi kujua hilo.Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Nimekuambia hivi.Sio rahisi kujua fundisho la utatu kwa mtu anayeona giza katika mwanga. Bali yule anayeona mwanga katika giza, ni rahisi kujua hilo.
Kwako haingii kabisa akilini kwa kuwa unaona giza katika mwanga.
Sio kila jambo lina mfumo wa kuthibitisha. Hata uhai ulionao huwezi kuthibitisha unaenda wapi baada ya kutoweka mwilini.Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Ni wewe tu hujaelimika. Uhai watu wameuelezea kwa concept za thermodynamics na entropy systems.Sio kila jambo lina mfumo wa kuthibitisha. Hata uhai ulionao huwezi kuthibitisha unaenda wapi baada ya kutoweka mwilini.
Je unawza kusema mtu mfu ni hai kwa kuwa hujathibitisha uhai wake umekwenda wapi?
Mtu yeyote kukosa akili ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Tatizo linalo kusumbua uwezo mdogo wa kuelewa hayo mambo ya simple logical urguemnt, logical proposition and so and so, yanini?
mimi nilikutaka UTHIBITISHE kama unazo akili wewe ukajibu kuwa HUNA AKILI na ikawa ndio hoja yako ya kumkana Mungu. Na kudai kama angekuwepo ungekua na akili
Kwahiyo ukashindwa kuthibitisha. labada nilikupeleka ktk upeo wa juju sana ukawa ni mzito kuelewa hebu tuone dai lako
Unadai Wanao dai kuwepo kwa MUNGU MWENYE ENZI WATHIBITISHE
dai hilo halitakua na tofauti na dai langu kwako kua NAWE UNITHIBITISHIE KAMA HUNA AKILI ILI NAMI NIKUTHITISHIE KUWEPO WA MUNGU
SIMPLE LOGICAL.
Kwa hiyo umetoka wapiUnajuaje ulianza?
Nipe namba zakeSiyo muumini sana wa haya mambo, lakini Kuna padre mmoja alisema, utatu mtakatifu ni sawa na concept ya jua. Jua linatoa light energy, na light energy inatoa heat energy. Kwahiyo light energy na heat energy vimetokana na jua.
Lakini, jua sio light energy Wala heat energy, light energy siyo jua Wala heat energy, etc
Swali lako lina kasumba kwamba umetoka sehemu, swali linaanza na bias/ assumption, hiyo assumption umeipataje?Kwa hiyo umetoka wapi
Wejamaa.Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Unasemaje wejamaa?
Kumbe ww ni muislam dirishadogo![emoji23][emoji23][emoji23] Paulo kaingiza watu chaka bovu
Kwa uandishi huu unataka argument na kiranga?!!!Tatizo linalo kusumbua uwezo mdogo wa kuelewa hayo mambo ya simple logical urguemnt, logical proposition and so and so, yanini?
mimi nilikutaka UTHIBITISHE kama unazo akili wewe ukajibu kuwa HUNA AKILI na ikawa ndio hoja yako ya kumkana Mungu. Na kudai kama angekuwepo ungekua na akili
Kwahiyo ukashindwa kuthibitisha. labada nilikupeleka ktk upeo wa juju sana ukawa ni mzito kuelewa hebu tuone dai lako
Unadai Wanao dai kuwepo kwa MUNGU MWENYE ENZI WATHIBITISHE
dai hilo halitakua na tofauti na dai langu kwako kua NAWE UNITHIBITISHIE KAMA HUNA AKILI ILI NAMI NIKUTHITISHIE KUWEPO WA MUNGU
SIMPLE LOGICAL.
Kwa uandishi huu unataka argument na kiranga?!!!
Mkuu hebu kale Christmas tu, achana na huyu Kiranga atakuvua nguo.
Sent using Jamii Forums mobile app