Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Nimekuambia hivi.

"Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo."

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.
Kitendo cha kumtaja Mungu na kumjadili ni alama tosha ya kwamba unatambua uwepo wake. Kama hayupo hilo jina umelipata wapi?

Wewe unasema Mungu hayupo! Bila shaka umethibitisha hilo. Usingeweza kusema Mungu hayupo bila kuthibitisha.

Hivyo basi kanuni uliyotumia kuthibitisha kuwa Mungu hayupo, ndiyo kanuni ninayotumia kuthibitisha kuwa Mungu. Tofauti yetu ni majibu yetu tunayopata. Wewe unapata Mungu hayupo, lakini mimi napata Mungu yupo.

Je kuna haja tena ya kuniambia nithibitishe uwepo wa Mungu?
 
First things first.

Nikimtaja character wa sinema jasusi wa Kiingereza James Bond OO7, hilo lina maana kuna jasusi wa Kiingereza huyo kweli anaitwa James Bond? Nje ya hadithi na sinema?

movieposterredo4.jpg
 
Ni wewe tu hujaelimika. Uhai watu wameuelezea kwa concept za thermodynamics na entropy systems.

Na wewe ukifa uhai utaendelea, watatokea funza na wadudu wengine kutoka atoms zako, everything is recycled.
Je unaamini katika hiyo concept kibiologia?

Ni kweli baada ya kufa uhai unaendea. Je uhai huo unakuwa wapi? Hata kabla ya kufa, unaweza thibitisha uhai ulikuwa sehemu gani ya mwili wako?
 
Je unaamini katika hiyo concept kibiologia?

Ni kweli baada ya kufa uhai unaendea. Je uhai huo unakuwa wapi? Hata kabla ya kufa, unaweza thibitisha uhai ulikuwa sehemu gani ya mwili wako?
Kabla ya kufa uhai unakuwa kwenye cells zote hai za mwili, umesoma Biology ya form one?

Au hujafika Form One?

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
III Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa
Ni kama software kwenye computer
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Thread kama hizi za ku question uwepo wa mungu ni za kuskip tu
 
Yaan kwa uandishi wako mbovu huu Kiranga akimbie!!!

Hapo ujue kaona we kilaza fresh tu, kifanya argument na wewe ni kumaliza energy tu.

Hata mimi siwezi kuweka battle na wewe that's too low for me.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo ndio chaka siku zote hukimbilia kila anaekosa hoja madhubuti kutetea analo dai
kwa taarifa yako wewe na wale ambao wanaodai kua HAKUNA MUNGU hamna hoja yeyote ya KIAKILI kutetea hoja yenu . Why because an understanding capacity of yours is beyond margin line.
 
Kabla ya kufa uhai unakuwa kwenye cells zote hai za mwili, umesoma Biology ya form one?

Au hujafika Form One?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Form one nimefika na pia kuishi humo mwaka mzima. Biolojia pia nimesoma. Seli ina sehemu nyingi na haielezi kitu juu ya uhai wake kuwa unatoka wapi na unakaa wapi ndani yake.

Je uhai umetoka wapi na unakaa wapi katika hiyo seli? Unaweza kuuthibitisha hilo au unaamini tu?

Kumbuka kuwa, sio kila jambo lina mfumo wa kuthibitisha uwepo wake. Uhai upo mwilini lakini huwezi kuthibitisha umetoka wapi na unakwenda wapi baada ya kufa.
Hata kifo pia kipo mwilini lakini hatuna mfumo wa kuthibitisha uwepo wake.

Amini Mungu yupo kama unavyoamini kuwa uhai upo katika seli za mwili. Kutokuwa na nfumo wa kuthibitisha, sio njia sahihi ya kusema kuwa jambo husika halipo.

Mungu yupo, nakutakia xmas njema.
 
Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Jamaa huwa kama muda wote umelewa gongo.Ulivyoandika tu ..."hata huyo Mungu mjuvi wa yote"...umeonesha unajua uwepo wake ila unazubaisha wajinga tu.
 
First things first.

Nikimtaja character wa sinema jasusi wa Kiingereza James Bond OO7, hilo lina maana kuna jasusi wa Kiingereza huyo kweli anaitwa James Bond? Nje ya hadithi na sinema?

movieposterredo4.jpg
Je. una maana gani?
 
Mungu ni intangible ila yesu ni mtu kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Back
Top Bottom