Yaan kwa uandishi wako mbovu huu Kiranga akimbie!!!amekimbia kama unao ubavu weka mguu tuanze
Kitendo cha kumtaja Mungu na kumjadili ni alama tosha ya kwamba unatambua uwepo wake. Kama hayupo hilo jina umelipata wapi?Nimekuambia hivi.
"Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo."
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Kwa sababu hayupo.
First things first.Kitendo cha kumtaja Mungu na kumjadili ni alama tosha ya kwamba unatambua uwepo wake. Kama hayupo hilo jina umelipata wapi?
Wewe unasema Mungu hayupo! Bila shaka umethibitisha hilo. Usingeweza kusema Mungu hayupo bila kuthibitisha.
Hivyo basi kanuni uliyotumia kuthibitisha kuwa Mungu hayupo, ndiyo kanuni ninayotumia kuthibitisha kuwa Mungu. Tofauti yetu ni majibu yetu tunayopata. Wewe unapata Mungu hayupo, lakini mimi napata Mungu yupo.
Je kuna haja tena ya kuniambia nithibitishe uwepo wa Mungu?
Je unaamini katika hiyo concept kibiologia?Ni wewe tu hujaelimika. Uhai watu wameuelezea kwa concept za thermodynamics na entropy systems.
Na wewe ukifa uhai utaendelea, watatokea funza na wadudu wengine kutoka atoms zako, everything is recycled.
Kabla ya kufa uhai unakuwa kwenye cells zote hai za mwili, umesoma Biology ya form one?Je unaamini katika hiyo concept kibiologia?
Ni kweli baada ya kufa uhai unaendea. Je uhai huo unakuwa wapi? Hata kabla ya kufa, unaweza thibitisha uhai ulikuwa sehemu gani ya mwili wako?
Ni kama software kwenye computerIII Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa
Swali hata sijakuuliza wewe, umedandia treni kwa mbele.Nikuulize wewe nimefika form one?
nime changanya mada BossSwali hata sijakuuliza wewe, umedandia treni kwa mbele.
Thread kama hizi za ku question uwepo wa mungu ni za kuskip tuNasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
~ Methali 8:30 ina maanisha nini?
~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?
Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Yaan kwa uandishi wako mbovu huu Kiranga akimbie!!!
Hapo ujue kaona we kilaza fresh tu, kifanya argument na wewe ni kumaliza energy tu.
Hata mimi siwezi kuweka battle na wewe that's too low for me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshondwa kujibu hoja unataka uzi uskipiwe,wapi unasema hakuna Mungu?Thread kama hizi za ku question uwepo wa mungu ni za kuskip tu
Jamaa kaandika upumbavu sana hadi nimeogopa!Ukristo hauna mafundisho haya, unapotosha.
Kwa hiyo Yesu aliumba au hakuumba? Be specific.Yesu ndio kiumbe wa kwanza kuumbwa baada ya yeye vitu vyote vikaumbwa kupitia yeye
Wewe upo sahihi kabisa fundisho la utatu limeingizwa na waroma hata mambo ya zaka enzi za mitume hayakuwepo waroma ndo waliletaWArumi ndiyo waliingiza habari za utatu iliukristo uendane na dini zao. Warumi ndiyo walianzisha habariza kumuabudu Maria. Upagani umeingia sana kwenye hizi dini.
Alafu mkali kweli kweli.Jamaa kaandika upumbavu sana hadi nimeogopa!
Form one nimefika na pia kuishi humo mwaka mzima. Biolojia pia nimesoma. Seli ina sehemu nyingi na haielezi kitu juu ya uhai wake kuwa unatoka wapi na unakaa wapi ndani yake.Kabla ya kufa uhai unakuwa kwenye cells zote hai za mwili, umesoma Biology ya form one?
Au hujafika Form One?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Jamaa huwa kama muda wote umelewa gongo.Ulivyoandika tu ..."hata huyo Mungu mjuvi wa yote"...umeonesha unajua uwepo wake ila unazubaisha wajinga tu.Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Je. una maana gani?First things first.
Nikimtaja character wa sinema jasusi wa Kiingereza James Bond OO7, hilo lina maana kuna jasusi wa Kiingereza huyo kweli anaitwa James Bond? Nje ya hadithi na sinema?