Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Kwa Nini ujirokodi picha chafu.furaha Hana kosa.mwenye kosa ni yule aliyejirokodi.utajirekodije picha za uchi?ulilenga Nini?
Kwa hiyo mtu akijirekodi wewe ndie unaamua kuwa msambazaji?

Sheria ya kulinda taarifa binafsi ilishapitoshwa .Mtu kajirekodi ya kwake hayo wewe unasambaza kama nani?
 
MULIRO CHUNGUZA NA HII REDIO 90.9 KAMA WANALIPA STAHUKI ZA SERIKALI NA FWATILIEN VIPINDI VYAKEE USANII MTUPU MWANZO MWISHO
CC
TRA
....NK
 
Sitaki Kuhoji sana kwanini umekuwa Tajiri ghafla kwani najua Ofisi uliyokuwepo ambayo Mjomba wako alikupigia pande kuwepo pale ( hapo ) ndiyo ilikufanya uwe na Fedha nyingi kwani ulitumika sana Kuficha Udhaifu wa Mapapa wa Dawa za Kulevya waliokamatwa na kuja Ofiisini Kwako kwa Vipimo.

Na najua kuwa umepiga Pesa ndefu hapo ambazo zilikupa Jeuri ya Kulala na Mademu wa kila aina Tanzania na hata Nje ya Tanzania. Kuna Rafiki yako Mmoja mwana CCM yuko Mbezi Beach alishakuonya Siku nyingi kuwa kuwa makini na Nyendo zako kwani uko Mtegoni lakini ulimpuuza.

Pole kwa Kukamatwa Kwako huko japo najua Wafanyakazi wa Redio yako uliyoianzisha ya Furaha FM sasa hawatolala kwani wanajua Taita Wao ( Boss Wao ) kawekwa Nyavuni. Hivi ni kwanini nyie Vijana mkishapata Hela zenu za Magumashi na Ngada ( Cocaine ) huwa hamtulii ili mzitumie kwa Amani na Mnajichanganya nazo?
Safi sana watu wana vyanzo vya habari mpaka raha...hongera mkuu...🙌🏽
 
Kile kichwa nilijua tu Kuna Mambo kinafanya ambayo ni ya ujingaa ,utoto ni mwingi sana eti ndo alitaka apewe ubunge angevulunda tu yule
Sasa mbunge aliyepo, si ndo alijirekodi akifanya ngono? Au tumesahau Video ya Gwajima bila aibu anasema siyo yeye, huyo ana mkono wa baunsa .......
 
Huyu furaha Dominic, anaweza kuwa mgombea uongozi kwenye chama chochote cha kisiasa , na akashinda kwa kishindo.

Hii ni hazina na sio hasara.
Hata Urais, akigombea wengi watamuunga mkono.
Unaweza kuweka hapa background profile yake na utendaji wake katika Siasa mpaka sasa?

Nimekua interested maana naona hapa kuna hoja za pande mbili zaidi, upande mmoja unamkataa (CCM + CDM) na upande mwingine unamkubali (CDM + CCM).

Pia hint ya jina lake kukatwa uchaguzi mkuu 2020 licha ya kupita kura za maoni.

Hebu muwekeni hapa tumsome vizuri hizo alama zake .
 
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).

Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua shughuli za huyu kijana na namna anavyojipatia pesa.

Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi, kanda maalumu ya Dar es Salaam Inspk Murilo amesema ushahidi wa awali umekamilika na mtuhumiwa atafikikishwa mahakamani.

Chanzo Uhondo Tv

Video iko chini
View attachment 2972182
---

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu wawili, Japhari Mwinyimvua (40) mlinzi na Richard Nonyo (65) baba mzazi wa mtu anayedaiwa ni mganga wa kienyeji wa eneo hilo.

Tukio hilo limetokea Aprili 21, 2024 majira ya saa 3 asubuhi maeneo ya Kigogo fresh, Pugu, Ilala ambapo mlinzi huyo alikutwa ameshambuliwa na baadae kupoteza maisha. Hata hivyo katika mtiririko huo kundi la watu lilimshambulia baba mzazi wa mganga huyo na baadae akapoteza maisha wakimtuhumu mtoto wake kuhusika na kifo cha mlinzi huyo.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wanachunguza kwa kasi tukio hilo na wahusika wote wa tukio hili watakamatwa haraka iwezekanavyo na kufikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria .

Katika hatua nyingne, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Furaha Dominick Jacobo (32) mkazi wa Masaki na Mustafa Kihenga (28) mkazi wa Mwenge TRA kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao kwa kusambaza picha chafu za video za watu zisizo na maadili kwa lengo la kujipatia fedha kwa vitisho.

Watuhumiwa hawa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani leo kujibu tuhuma zanazowakabili.

Imetolewa na ;
Muliro J. MULIRO - SACP
Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam

View attachment 2972184
Habari yako Cleopa mfuasi wa Gwajima! Hujambo mwanangu!
 
Kama anaweza kupata picha za utupu za watu maarufu na vigogo huko Serikalini, basi huyo ni "Kachelo" mzuri, amefuzu vyema katika tasnia ya Sexipionage.
 
Sitaki Kuhoji sana kwanini umekuwa Tajiri ghafla kwani najua Ofisi uliyokuwepo ambayo Mjomba wako alikupigia pande kuwepo pale ( hapo ) ndiyo ilikufanya uwe na Fedha nyingi kwani ulitumika sana Kuficha Udhaifu wa Mapapa wa Dawa za Kulevya waliokamatwa na kuja Ofiisini Kwako kwa Vipimo.

Na najua kuwa umepiga Pesa ndefu hapo ambazo zilikupa Jeuri ya Kulala na Mademu wa kila aina Tanzania na hata Nje ya Tanzania. Kuna Rafiki yako Mmoja mwana CCM yuko Mbezi Beach alishakuonya Siku nyingi kuwa kuwa makini na Nyendo zako kwani uko Mtegoni lakini ulimpuuza.

Pole kwa Kukamatwa Kwako huko japo najua Wafanyakazi wa Redio yako uliyoianzisha ya Furaha FM sasa hawatolala kwani wanajua Taita Wao ( Boss Wao ) kawekwa Nyavuni. Hivi ni kwanini nyie Vijana mkishapata Hela zenu za Magumashi na Ngada ( Cocaine ) huwa hamtulii ili mzitumie kwa Amani na Mnajichanganya nazo?
Hahahahaha...walau wewe umeiweka vzr...DCEA hivi wamekamata kilo ngapi ?
 
Swali la kwanza = Hakuna
Swali la pili=Hakuna
Swali la tatu=Hakuna

Muulizaji anauliza kutimiza itifaki tu ama?
Waitikiaji nao?

Hizo swing wakati na kushika kipaza sauti na total body motion yake ni attitude ama?

Huyo jamaa mwenye Ndevu na upara kamuangalia mshika kipaza sauti kichwani mpaka miguuni, mara mbili! Sampling ama?!

Inaonekana Chaguzi za ndani na kura za maoni CCM ni ngumu kuliko G.E.
 
HUYUU JAMÀ SI NDIO ANAREDIOO 90.9 FURAHA FM NA KUNA MCHUNGAJI ANAITWA KIBOKO WA WACHAWI ANAHUBIRI HUKOO DOH INABIDI AJITAFAKARII

Furaha Dominic si mpwa wa JIWE? Anamilike Redio kweli huyo? 32 yrs?? Au alikwapua pesa kipindi cha jiwe akainvest? Ubunge alikosa.
 
Back
Top Bottom