Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham...
Nimeisikiliza ile clip mwanzo mwisho, umemlisha maneno.
Hakuna mahala ametamka kwamba Gwajima ni kiongozi wa Sukuma gang!
Amemtaja Gwajima kama mnafiki na muongo (kwa maoni yake). Amesema alipokuwa anataka kuanza kuchukua fomu za kugombea ,kwanza alimfuata Gwajima na kumuomba ushauri wake, ambapo alimshauri tena akimpongeza huku akimuahidi kumpa helikopta ya kumsaidia kufanya kampeni.
Lakini kilichofuatia baadae, ndio kilichomfanya Furaha asimuamini tena.
Maoni yangu kwako mtoa Post.
Tujaribu kuwa wakweli na msiwe mnatoa post zenye uongo bila kujua kwamba huko mitandaoni hamko peke yenu na hili kundi lenu la visasi kutoka huko mnakopewa maelekezo.
La hasha, tuko wengi tuatizama na inatuudhi tunapoona wapuuzi wachache wazandiki na mafedhuli kama wewe mkitumika kama toilet paper kila uchao, kuchafua na kuwalisha maneno watu.
Ndio maana hata Mh rais aliwaumbua juzi kuhusu Lukuvi.
Hii clip iko wazi na mtu anaweza kuipata huko Facebook.
Ntozi nyanda-The Big Agenda on Star TV.
Na bado itaendelea wiki hii, with the same Guest Furaha Dominic.