Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Kimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa.

Nimejiulize alio waita kope aliwajuaje kuwa ni kope?

Hivi alimjuaje kope Alie enda kumchongea makamu wa Raisi kwa Raisi?

Hivi, huyo kijana alipataje fursa ya kuingia Ikulu na kuwaona makupe?

Je Kupe ni ninani?
Tuliza ma-kasesela utuletee habari kamili
 
Aisee hawa wanaojiita wachungaji na makanisa yao ya ajabu ajabu ni waongo sana
Wanachofanya ni kucheza na akili za watu esp wanawake.... na kimsingi wanawa win sana. Ingawa kwa kweli wapo wengine unaona kbs yhis guy is real connected yo God!!!
 
Hii habari haistaili kuwa Jf kwa namna ilivyoandikwa .
 
Wanachofanya ni kucheza na akili za watu esp wanawake.... na kimsingi wanawa win sana. Ingawa kwa kweli wapo wengine unaona kbs yhis guy is real connected yo God!!!
Mkuu hakuna Mchungaji yeyote mkweli wa kusema yupo connected to God.

Wote ni wajanja tu wanao cheza na akili zetu kama waganga wa kienyeji tu.
 
Duuh kukosa ubunge kunauma sana.
Sukuma GANG mnaponzwa na ubinafisi mlio nao, kila mmoja anataka kuwahi.😀😄mmesambaratishwa kibwege sana.
Huyu mpwa ni mnafiki kama BASHITE.
Anamtumia Magufuli amfikie Samia, apewe teuzi. Hii nihatari.
 
Drama za kututoa kwenye malengo ya kupigania katiba mpya, shwain, alikuwa wapi siku zote na ni kitu gani kilichomuibua kuongea utopolo wake sa hizi, atupoi ampaka kieleweke.

Tunataka katiba mpya, na si tume huru, TUTAELEWANA TU.
 
Acha kusema uongo. Hakuna kitu Kama hicho Gwajima Mimi namfahamu, amenifundisha kambi ya vijana mwaka 2001 iliyofanyika kibaha secondary somo la imani alitoa somo kubwa Sana. Mambo aliyoelezea Ni makubwa mno.
 
Uongo uongoni.vimeumana.siasa siasani😁😁😁😁😁
 
Aisee,uncle wangu mmoja mjanja mjanja hivi,wa kike,nilimshuhudia kwa macho yangu akifufuliwa na gwajima mkoa mmoja wa jirani,ukiniuliza alikufa lini utakuwa unanionea tu! Ila hajawahi kufa! Nikajisemea kimoyomoyo kumbe hawa ndiyo maiti anaowafufua huyu mtume?
 
Labda awe mwingine lakini kama ni mbunge wa tegeta kwa ndevu mixer sala sala huyo dogo ataomba msamaha na makamasi juu
 
je, bacteria/virusi(ccm) wanaosababisha maradhi kwa binadam nao hua wanaugua?
 
Back
Top Bottom