Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Kwa kweli kuandika yote aliyoyasema Dogo Fraha Dominick mkemia aliye kuwa anapima mpk nanasi analikuta na Corona na kumwambia mjomb wake aseme Nini
Kwahiyo umefunga code, hebu fungua basi hii codeKimsingi, yaliyosemwa na mtoto aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la kawe kwa maana ya furaha Dominick nimeshangaa Sanaa Huyu kijana ameongea mambo ya ajabu Sanaa...
Majungu na uzushi si MTAJI Kaka.....Dogo alikua anafanya kazi kwa mkemia, alikua na kiburi Sana, baada ya magufuli kufa akafukuzwa kazi.
Alikata rufaa time ya utumishi sijui km atafanikiwa
Majungu na uzushi si MTAJI Kaka.....
Umeamua kumchafua kamarada Furaha D....
Hakuna alichoshinda ni kwamba watu walijipendekeza kwake sababu ni mpwa wa marehemu. Hana quality ya kushinda sema anatakuta political milleage aonekane au asikike yupo relevant japo akimbukwe kwa chochote.Yule dogo alishinda kwa kura nyingi Kawe wengi wakashtuka kura za kuwapitishwa akakatwa jina na kupitisha jina la Gwajima . Ilikuwa kumweka mazingira ya kujulikana ili cheo atakachopewa isionekane kabebwa ila ndo hivo boss alitangulia mbele ya haki
Kwan Furaha ni mbwa au Kunguru ya wapi?Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham...
Basi sbr tuu utaijuaNingekuuliza???
Wampe u-DAS akae kimyaEti nae anataka umaarufu kupitia Gwaji boy
Nimeisikiliza ile clip mwanzo mwisho, umemlisha maneno.Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham...
Mkuu wapi nimeandika kuwa Furaha kadai kuwa Gwajima ni Kiongozi wa Sukuma Gang ...!!?Nimeisikiliza ile clip mwanzo mwisho, umemlisha maneno.
Hakuna mahala ametamka kwamba Gwajima ni kiongozi wa Sukuma gang!
Amemtaja Gwajima kama mnafiki na muongo (kwa maoni yake). Amesema alipokuwa anataka kuanza kuchukua fomu za kugombea ,kwanza alimfuata Gwajima na kumuomba ushauri wake, ambapo alimshauri tena akimpongeza huku akimuahidi kumpa helikopta ya kumsaidia kufanya kampeni.
Lakini kilichofuatia baadae, ndio kilichomfanya Furaha asimuamini tena.
Maoni yangu kwako mtoa Post.
Tujaribu kuwa wakweli na msiwe mnatoa post zenye uongo bila kujua kwamba huko mitandaoni hamko peke yenu na hili kundi lenu la visasi kutoka huko mnakopewa maelekezo.
La hasha, tuko wengi tuatizama na inatuudhi tunapoona wapuuzi wachache wazandiki na mafedhuli kama wewe mkitumika kama toilet paper kila uchao, kuchafua na kuwalisha maneno watu.
Ndio maana hata Mh rais aliwaumbua juzi kuhusu Lukuvi.
Hii clip iko wazi na mtu anaweza kuipata huko Facebook.
Ntozi nyanda-The Big Agenda on Star TV.
Na bado itaendelea wiki hii, with the same Guest Furaha Dominic.
Nyie timu Sukuma Gang tunawafahamu sana njama zenu za kutaka kumkwamisha mama asifanikiwe kuwaletea watanzania maendeleo endelevu. Mungu anawaona. Stress zenu za 2025 hazitawaacha salama.Nimeisikiliza ile clip mwanzo mwisho, umemlisha maneno.