Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Bora ungeenda kulishuhudia mwenyewe Jambo hilo ndipo ukahadithia, binadamu tuna hila Sana.

Huyu dogo ana hasira za kukosa ubunge kamwe usitegemee atamsema vizuri mpinzani wake.
 
Muulize Furaha Dominic kama anauweza huo muziki wa Gwajima.

Binafsi naamini huo mfupa anaouweza ni Dr. Gwajima... hapo mwenyewe alisalimu amri ....!!!
Hakuuweza asilani maana alijipanga kumlipua Hadi boyfriend wake Kama Ndugai asingeinunua kesi ilikuwa kizaazaa, angewaacha wamalizane kifamilia, na alishatangaza kumfuta kwenye ramani za siasa tusubirie muda tu gwajigirl atakuwa wapi kisiasa
 
Bora ungeenda kulishuhudia mwenyewe Jambo hilo ndipo ukahadithia, binadamu tuna hila Sana.

Huyu dogo ana hasira za kukosa ubunge kamwe usitegemee atamsema vizuri mpinzani wake.
Kama bado unamwamini Gwajima nakupa pole na nakusikitikia!!
 
Huo ni uongo hamnaga kipindi cha kushuhudia kanisani kwake, tafuta kote hutapata kipindi cha kushuhudia, huo ni uongo wa mchana kabisa, wewe na shem wako mnajambo lenu ila huu ni uongo kabisa tena wa kitoto, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, hata kama unamchukia, sio kwamba namtetea au kumpamba lakini ukweli utabaki ukweli hamnaga kipindi cha kushuhudia kanisani kwake.
 
Tena uongo wa mchana kabisa, ogopa matapeli hamnaga kipindi cha kushuhudia kanisani kwake, huyo shem labda hata hajui anayemzungumzia kakariri tu jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…