Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Bora ungeenda kulishuhudia mwenyewe Jambo hilo ndipo ukahadithia, binadamu tuna hila Sana.kuna shemeji yangu alinishuhudia siku moja mambo ambayo alifanya Kanisani kwa Gwajima yanasikitisha na kuogopesha;
1. Kwa ujira wa TZS 80,000 by then aliunganishiwa na mtu mwingine kuwa anaenda kwa Gwajima anajifanya kutoa ushuhuda wa jambo fulani ambalo lilikuwa ni changamoto kwake, anashuhudia mbele ya madhabahu wakati ni uongo baadae akimaliza anapokea mpunga wake fresh anakwenda kula K vant zile za wakati ule.
2. Jumapili ingine ana appear different kabisa mfano anaweza pakwa foundations/Makeup zile wanawake nanapakaga anaonekana sura tofauti lkn same same anashuuhudia uongo na waumini wanamwamini as the results wanaongeza trust kwa Gway Boy.....
Huyo ndo Gwaji Boy, ayayejiita Mtumishi, wa Mungu na hayo ndio matendo yake........
Concl:
Kama ameweza kudanganya mbele ya madhabahu, je kudanganya kwenye majukwaa ya Siasa ni kitu gani?
Huyu dogo ana hasira za kukosa ubunge kamwe usitegemee atamsema vizuri mpinzani wake.