kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Kupitia commentsKampeni za kitu gani tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia commentsKampeni za kitu gani tena?
Hongera kwake. Yupo Smart na ndo maana akawekwa Kawe .
Mwanzoni alitaka Kawe ?Sasa naelewa kwanini Kijana yule ilibidi aende Kigamboni! Kawe kulishajazwa nafasi tayari
Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha wake wa Kipopoma / Kipumbavu na Mnafiki, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.
Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.
Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....
1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1
Kila la Kheri!
Hashindi huyo Furaha Domick Jacob (Mtoto wa dada) mbona hana jina la ukoo..TafakuriHatashinda Amina atapita huyu kijana. KUMBUKA wapiga Kura wengi ni vijana na wamama. Watampigia Kura huyu kaka
NdioMwanzoni alitaka Kawe ?
Kawe na ubungo ilisemekanaMwanzoni alitaka Kawe ?
Hata akiweka sir name haliwezi tokea jina la MagufuliHashindi huyo Furaha Domick Jacob (Mtoto wa dada) mbona hana jina la ukoo..Tafakuri
Mtoto wa Dada yake magufuliFollowing too,ni nani haswa huyu..
Mdee.Hakina Mdee HONGERAAAAA, Jimbo la Kawe la kwako tena. Utapita saa 2 Asubuhi.
Tamaa mbaya..Kipi warioba aachane na siasa sasa, anashindwa mpaka na Gwajima!
Si bora angeenda Ubungo ?Kawe na ubungo ilisemekana
Mtoto wa dada maana yake Magu mjomba atakuwaje na jina la MagufuriHata akiweka sir name haliwezi tokea jina la Magufuli
Nakuja mitaa yako leo kukusalimiaMkuje basi mtuambie
Ndicho nilichokuwa namaanishaMtoto wa dada maana yake Magu mjomba atakuwaje na jina la Magufuri
yupo powa sana dogo.. tuna kutana nae sana mlimani city.. na hana shobo ana nidhamu.. mengine sijui.. 🙂
Unajarbu kubahatisha?Mtoto wa Dada yake magufuli