Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

Katiba mpya ikataze mtu kushikiliwa zaidi ya miezi sita vinginevyo jamuhuri iwajibike kumlipa fidia kwa kipindi chote atakacho shikiliwa endapo shitaka halito thibitishwa.
Kabla ya kuiset katiba mpya maana mizunguko ishakuwa kwenye katiba mpya kwanza hii sheria irekebishwe mapema.

Alafu tuamie sasa kwenye katiba mpya ili linaweza
 
Chuki ni kubwa sana.
watu wengi wameharibiwa maisha kwa kukaa gerezani miaka mingi bila hatia.
Alaf tangu waanze kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi hamna ambae ushahidi wa kuwaunganisha na kesi uliopatikana
 
Hiyo sheria ya ugaidi ni miongoni mwa sheria ovu.. ililenga kuua uislamu...
Mauaji aliyofanya Mackenzie pale Kenya angekuwa amefanya shekh yqngetambuliwa na Dunia nzima km ugaidi.
Nyie kweli dini yenu lazima iondolewe tu maana ni wauaji
 
Nyie kweli dini yenu lazima iondolewe tu maana ni wauaji
Kwenye swala la dini kuondolewa sio suluhisho maana hakuna kitu kigumu kama kukiondoa kitu amacho kishaingia.

alafu pia kisheria utakuwa teyal ushavunja haki ya mtu kuabudu kile anachokitaka.

Solution ni kuelimisha waache kuchanganya "DINI NA SIASA"
 
Nitaiomba mahakama kesi kama hizi zimalizike ndani ya miezi mitatu ili mhusika akishinda awe amekwishapata haki yake. Kinachotakiwa katika kesi kama hizi ni ushahidi kutoka gerezani kuthibitisha kuwa muhusika alikuwa ameshikiliwa na pia kutoka kwa DPP au mahakamani kwamba mdai alishinda kesi au aliachiliwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani.
So hakuna kitu cha kuchelewesha kesi ya aina hii.
 
Ila pia upo ukweli mwingine kwamba kutokukutwa na hatia mahakamani hakumaanishi kwamba mtu huyo lazima hakutenda kosa husika.
 
Chuki ni kubwa sana.
watu wengi wameharibiwa maisha kwa kukaa gerezani miaka mingi bila hatia.
Alaf tangu waanze kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi hamna ambae ushahidi wa kuwaunganisha na kesi uliopatikana
Sio kuwaunganisha na kesi tu hata kuwapeleka mahakamani Huwa hawapeekwi ,ni upumbavu sana unanishikilia miaka 10 mahakamani hunipeleki then what for,ni chuki za hovyosana .Unanikata shambani kwangu nalimia mihogo eti upo chini ya ulinzi wewe Gaidi..,, Tabia za kukamatana usiku mtu akiwa kwenye kinena Cha mkewe zilishamiri sana ,ni tabia za kimama.
 
Hiyo sheria ya ugaidi ni miongoni mwa sheria ovu.. ililenga kuua uislamu...
Mauaji aliyofanya Mackenzie pale Kenya angekuwa amefanya shekh yqngetambuliwa na Dunia nzima km ugaidi.

Uislam sio uchochevu wa vurugu na mauaji,kama ni hivyo kuna waislam wangapi mtaani kwanini wasikamatwe ukiwamo wewe??
 
huwa wanapelekwa mahakamani kusomewa mashtaka na kupangiwa tarehe za kusikilizwa katika kusikilizwa ndo inabainika jamaa huwa hawana hatia

lakin hata hivyo mahakama huwa haziwaachii haraka zinawaweka mahabusu kwa miaka mingi inayozidi hata hukumu za vifungo vya kawaida
 
Uislam sio uchochevu wa vurugu na mauaji,kama ni hivyo kuna waislam wangapi mtaani kwanini wasikamatwe ukiwamo wewe??
Sheria inataka mtuhumiwa akikamatwa apelekwe mahakamani ,unapomshika mtu ukamuweka mahabusu tu unakusudia nini,magereza tunajua kazi kubwa kurekebisha tabia za wafungwa,mahabusu watuhumiwa wanafanya nini ?
 
Sheria inataka mtuhumiwa akikamatwa apelekwe mahakamani ,unapomshika mtu ukamuweka mahabusu tu unakusudia nini,magereza tunajua kazi kubwa kurekebisha tabia za wafungwa,mahabusu watuhumiwa wanafanya nini ?

Sheria imetungwa ili ivunje ujue hilo kwanza.kuna watu kwa kuijua sheria wanavunja makusudi na kukwepa mkono wa sheria,njia bora kudeal nao inatumika mamlaka kuvunja tena sheria ile ile kideal na wahuni.

Hawa watu watakuwa wajumbe bora sana wa amani baada ya hapa.maana unashtuka kwamba usipotumia akili ukakubali kutumika sababu ya dini,hata ndugu zako watakuacha mwenyewe.

Akina mazinge wale pale kwanini hili balaa liliwapita na fujo zao hizo za kila siku kama ishu ni fitna kwa uislam!!!
 
Niliingia ikulu mwaka 2040,nikatatua TATIZO la mtuhumiwa kukaaa gerezani mahabusu kwa muda mrefu pasipo kesi kusikilizwa!sasa mwaka HUU 2050 ni wastani wa siku 7 hadi 10 upelelezi tayari na hakuna mateso kwa watuhumiwa kusota!!

Naombeni kura zenu wakuu!!
 
Story za kufikirika....nchi hii dini inatumika kama mtaji wa kisiasa pale inapokuwa ni muhimu. Tusianze kuleta hadithi zisizo na facts. Kama unawajua wahusika, si uwataje kwa majina na dini zao?
 
Biashara zitakuwa hazipo tena.

Watoto huwa flexible hawana shida, baba ni baba tu.

Mke atakuwa aliishaolewa zamani. Wenzetu siyo wapamnanaji, wamezoea kutunzwa
Na kuzaa kwa kuendeleza familia. Kuacha mke miaka tisa na ukamkuta intact, lazima ufanye sherehe kubwa sana.
 
Kweli kabisa...nahisi ni wakristo ndio huchoma makanisa yao wenyewe
 
Kweli...kama ingekuwa kweli basi hata kesi moja wangepata ushahidi
Tukija fika level ya FBI na watu wakawa dedicated na kazi zao bila kujali Imani tutakuja pata ukweli.hadharani na haya matukio yataisha Kabisa...Ila hii style ya polisi kila Kanisa likilipuliwa wanakamata masheikh Tu kisa wanongea Kwa ukali misikitini...haya mambo hayataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…