Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #61
Kabla ya kuiset katiba mpya maana mizunguko ishakuwa kwenye katiba mpya kwanza hii sheria irekebishwe mapema.Katiba mpya ikataze mtu kushikiliwa zaidi ya miezi sita vinginevyo jamuhuri iwajibike kumlipa fidia kwa kipindi chote atakacho shikiliwa endapo shitaka halito thibitishwa.
Alafu tuamie sasa kwenye katiba mpya ili linaweza