Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Vipi kwa wale wanao achana kwa ugomvi na matusi na mwanamke kujifanya hataki kabisa mawasiliano.
 
Wanawake wengi sio wote, Ila wengi kwa 97% ni ngumu kumsahau;
1. Aliyemtoa bikra
2. Aliyezaa nae mtoto wa kwanza
3. Aliyemfikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…