Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Hapana kwa asilimia 90 wanawake wengi wanajitakia oua single mothers kwasababu wanavunja ndoa zao wenyewe bila sababu za msingi.Wahurumieni maana ata wao ukute hawakutaka kua hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kwa asilimia 90 wanawake wengi wanajitakia oua single mothers kwasababu wanavunja ndoa zao wenyewe bila sababu za msingi.Wahurumieni maana ata wao ukute hawakutaka kua hivo
Vipi kwa wale wanao achana kwa ugomvi na matusi na mwanamke kujifanya hataki kabisa mawasiliano.Mwanamke yeyote alie zaa au kuolewa Na kuachika usitegemee atapoteza mapenz Na mumewe Wa kwanza big no ni rahis kurubuniana Na wakaendelea kulana wakikaa Na kuongea mke wangu kumbuka Zama zile...... Bas kumbekeni ndoa ni maagano Na ubani unachomwa hakuna anaeweza tenganisha hapo wataachana lakin swala la kulana ni kawaida tu
Wanawake ni waongo sana katika maneno yao 20 amini moja au usiamini kabisaVipi kwa wale wanao achana kwa ugomvi na matusi na mwanamke kujifanya hataki kabisa mawasiliano.
Ukiwa unamaanisha kwamba anaweza akawa hamaanishi kwa matusi anayotoa au.?Wanawake ni waongo sana katika maneno yao 20 amini moja au usiamini kabisa
Duh htr hii sasa mtaani wametrend wao tuHapana kwa asilimia 90 wanawake wengi wanajitakia oua single mothers kwasababu wanavunja ndoa zao wenyewe bila sababu za msingi.
😂😂😂😂😂Jamaa ana kitu huyu asipuuzwe..
Hoja yake inamshiko.