Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Mwanamke yeyote alie zaa au kuolewa Na kuachika usitegemee atapoteza mapenz Na mumewe Wa kwanza big no ni rahis kurubuniana Na wakaendelea kulana wakikaa Na kuongea mke wangu kumbuka Zama zile...... Bas kumbekeni ndoa ni maagano Na ubani unachomwa hakuna anaeweza tenganisha hapo wataachana lakin swala la kulana ni kawaida tu
Vipi kwa wale wanao achana kwa ugomvi na matusi na mwanamke kujifanya hataki kabisa mawasiliano.
 
Wanawake wengi sio wote, Ila wengi kwa 97% ni ngumu kumsahau;
1. Aliyemtoa bikra
2. Aliyezaa nae mtoto wa kwanza
3. Aliyemfikisha
 
Back
Top Bottom