Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

Kwani huwezi kutaja hiyo kazi bila kulinganisha na mtumishi wa umma?
 
Hapo kwenye upishi na ufundi simu nakubali 💯 kwa 💯.
 
Huo uchef unaosema wewe, mm nimefanya na chef de part alikuwa analipwa laki 4. Executive chef sidhani kama inafika hata milion moja pale hotelin mana hata kumiliki vespa tu kwake imeshindikana. Sema kweli
Ulizia vizuri
Inatokana ulikuwa unafanya hotel Gani
Five star hotel hawawezi kumlipa chef laki 4
 
Wewe ni mpumbafu kweli hiv unajua MC katokisha alikua ni auditor wa kampuni moja tu hivi kubwa nje ya nchi lakini aLizamia u
Unaweza kuzungumzia uzuri wa biashara ulizoanisha bila kuzishusha taaluma za watu.

Acha ujuha kudhalilisha taaluma za watu, yani unadhalilisha walimu na madaktari kisa hawapati hela nyingi kama wafanyabiashara na still unatumia huduma zao.
Stupid
 
Upishi wanalipa 10M
ya kweli haya?
Cc: Mwachiluwi & Mshangazi dot com
Huyo anazungumzia catering businesses na si upishi wa migahawani.
Ni kweli unaweza kulipwa milioni 10 ulishe watu 400. Usipojipangilia vyema ukitoa matumizi yote ya kazi, faida inaweza kubakia chini ya 500,000. Ni biashara inayohitaji umakini na kupiga hesabu vizuri ili kutengeneza pesa nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…