Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Sasa kama wanasiri ww umewajuaje?na uhakika gani unachokisema nichaukweli ikiwa ni siri hapo nachanganyikiwa
 
Kaka nimekuelewa sana.swali hivi tukishayajua haya tutafanyaje maana wao ndo wanaongoza ulimwengu.je kunambadala wa kupingana nao?
 
Mimi nimeelewa kwasababu najua kidogo kuhusu Cern na nephilis .....ila mtu asiye na msingi atakuwa amepotea kama hapo pa picha.....Thanks Eiyer
 
Naomba unisaidie tofauti ya Freemason, Illuminati na hawa Skull & bones?
Sijajua haswa unahitaji tofauti ipi lakini kama unahitaji tofauti ya kimsingi hakuna labda ya kiutendaji...

Nasema tofauti ya kimsingi hakuna kwasababu waliounda Illuminati ndiyo waliounda Freemason lakini kwa malengo tofauti.illuminati ndiyo baba yao na ndani ya Illuminati ndiyo kuna hivyo vyama vya siri...

Ndani ya Illuminati kuna vyama vidogo vidogo vya siri vilivyoundwa kwaajili ua kusimamia maeneo specific.Mfano Skull & Bones wao jukumu lao ni kusimamia masuala ya vyuo.Freemason masuala ya kiimani,hawa wana jukumu la kusimamia maeneo yote ya kiimani yawe wanavyotaka wao....

Lakini,siyo kila mwanachama wa Skull & Bones ni mwanachama wa Illuminati bali wale wa rank ya juu tu ndiyo wanaounda Illuminati.Illuminati ina watu maalum 300 ambao ndiyo hukutana kupokea maelekezo ya |kamati kuu" ya watu 13 ambayo hii hupokea maelekezo kutoka kwa Pindar ambaye ndiye mkuu wake ambaye yeye ni mjumbe kwenye "kamati" nyingine.....

Kwa mfano huwezi kuwa 33 degree Freemason bila kuwa mwanachama wa kamati ya watu 300.Hakuna mwanachama wa juu wa Illuminati mwanamke.Vyama vyote vya siri vipo ndani ya Illuminati lakini hawataki hilo lijulikane kabisa ili kuwahadaa watu...

Chati hii hapa chini itakusaidia kuelewa ninachokuelekeza..

 
Tusikijua ni kwamba tunadhani vyote hivyo vinapatikana hivi hivi tu...

Dunani kuna pande mbili,either uwe kwa Mungu au upande mwingine na kila upande una namna yake ya kupata mafanikio....

Dhana ya maisha ni hapa duniani ililetwa na hawa hawa tunaowazungumza hapa ili uione dunia ni ya maana sana na ufanye chochote kile ili uendelee kuishi na kupata utajiri.Lakini ukweli ni kinyume kabisa maana tamaa ya maisha ndiyo iliyozaa utumwa na mabaya mengine yote yanayomharibu binadamu....

Kama utajua tu kuhna zaidi ya maisha haya tamaa yako na maisha haya taratibu itaanza kupungua na kuchukulia kawaida kabisa na utawashangaa wanaofikia hadi kuua ili wapate mali...

Wake up...
 
Mkuu away from Google una source yeyote ile inaweza upload
Vyanzo vyote vipo kwenye internet lakini unapaswa utumie muda sana kutafuta maana siyo vyote vinapatikana kiurahisi tu....

Kuna habari zingine za uongo pia hivyo ni kuwa makini na uvumilivu na taratibu utaanza kuona mengi yakijifunua tu kadiri unavyotafuta....
 
Yale Nomaa Apo Pako na Bonesmen wakutosha Very smart H.Bush, H.Taft,W.bush hao ni Maraisi ninaowajua waliotokea Skull and bones
 
Mkuu Wangu Eiyer naomba kuuliza tena usinichoke,ni huyu Pindar na yule black Pope nani zaidi?...pia huyu Pindar anaonekana kwa macho?..na hiyo Atlantic mpya wanaijenga duniani hapa hapa tunapoishi?
 
Mkuu Wangu Eiyer naomba kuuliza tena usinichoke,ni huyu Pindar na yule black Pope nani zaidi?...pia huyu Pindar anaonekana kwa macho?..na hiyo Atlantic mpya wanaijenga duniani hapa hapa tunapoishi?
Vatican ni taasisi ya kidini iliyoko chini ya Illuminati kwenye mwamvuli wa Freemason ambapo wanahakikisha inakuwa kama watakavyo wao,hili liko hivyo kwa dini zingine zote unazozijua wewe na madhehebu yote unayoyajua wewe hivyo Pindar ndiyo mkuu wao wote....

Pindar ni binadamu mwenye DNA ya reptilian ambaye anaonekana kama binadamu wa kawaida tu na anaishi kama wengine hivyo anaonekana kabisa lakini kumjua ndiyo mziki wenyewe...

Unaweza kukutana nayebarabarani ukamuona kama binadamu wa kawaida tu lakini huwezi kujua kuwa huyo ndiye Pindar....

Atlantis mpya itakuwepo hapa hapa duniani kama ilivyokuwepo ile ya kwanza.Hii ni mission ambayo ni LAZIMA ikamilike mkuu.Wapo wanaodhani kuwa ni AMERICA wengine wanadhani ni EU lakini America ndiyo inayoonekana ku match kwa haraka haraka lakini hakuna ukweli kwenye hili lakini kitu ambacho ninakijua ni kwamba wanatengeneza hii kitu hapa hapa duniani.....
 
Asee huyu Pindar huyu kumbe yuko hapa duniani? Mmmh huko anakoishi huko...naogopa hapo umetaja Vatican
 
Mara nyingi ukichimba sana unakuta unakufuru hata kile unachokiamini na hii ni kwa sababu unasoma hadi unafika sehemu hupati majibu yakinifu ya kutosha kueleza uhalisia. Propagamda juu ya matukio, uandishi wa vitabu mbalimbali vinavyoeleza uwepo wa Mungu, historia nzima ya waliyoviandika vitabu na namna bora fikirifu ya uandishi, uwepo wa makundi mbalimbali ya siri yanayoongoza dunia, dhana ya mwisho wa dunia na mambo mengi yanayoendana na hayo. Yanakupa wakati mgumu kuamini though biblia ambayo nayo iko katika mlolongo huo huo inakwambia imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Hapa ni kuendelea tu na unachokiamini.
 
Asee huyu Pindar huyu kumbe yuko hapa duniani? Mmmh huko anakoishi huko...naogopa hapo umetaja Vatican
Usiogope mkuu huo ndiyo ukweli wenyewe....

Ngoja nikuoneshe kitu hapa...

Tazama hizi picha...


St.Peter's square Washington D.C


Masjid al Huram

Halafu angalia hizi picha tena hapa chini...


S.t. Peter's,Vatican White House,Washington DC,USA


Masjid al Aqsa

Mkuu,unadhani hayo yote yapo au yanafanana bahati mbaya? Hawa watu wana namna yao ya kujenga majengo ili yaonekane yanawakilisha kitu kimoja.Ikifikaga hapa ndipo watu wanaamua tu kuyakana haya mambo kwasababu yamegusa imani zao lakini hakuna aliyepona....

Hakuna haja ya kukana bali upende ukweli hata kama unakuumiza kwa kiwango gani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…