CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #61
Nijambo jema ila gharama ni kubwa sana lakini Mirerani case study haisapoti hayo mengineWATOTO WA UJERUMANI HAWA SIJUI WATAACHA LINI ILI TUKAJEGE UKUTA KWENYE HIFATHI ZA WANYAMA PAMOJA NA KUWEKA SCHEMU ZA UMWAGILIAJI
1. MBUGA YA MIKUMI
2.HIFADHI YA KATAVI
3. MLIMA KILIMANJARO
4. HIFATHI YA SEREGETI
Watapiga sana ila wataelewa tu kwa sababu namba hazidanganyi kabisa,Hongera Mama kwa kazi nzuri, watakuelewa tuu... muda utaongea.
madeni ni madeni ,yy kalipa hayo na Tena atakopa world bank ,au I MF, n.k ,pia atayaacha na mwngne naye anaweza lipa ,na asmalize .nchi hii haijawahi kukosa madeni. inshort tunataka kuona vitu vyakuon3kana,inshu ya madeni iache Kama ilivyoDaah madeni ya watumishi,
Daah madeni ya wazabuni,
Daah madeni ya wakandarasi
Daah madeni ya watoa huduma
Kweli haya yaliachwa na Mwl, Mwinyi,Mkapa na JK,??!!
KWANINI HAMTAKI KUONA UIMARA WA MAMA?
Daah am speechless,Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali na kwa kuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye Jumla ya TZS11.17623Trilioni.
===
Unadhani kama asingekuta madeni asingeweza kupeleka kwenye maendeleo hiyo pesa?madeni ni madeni ,yy kalipa hayo na Tena atakopa world bank ,au I MF, n.k ,pia atayaacha na mwngne naye anaweza lipa ,na asmalize .nchi hii haijawahi kukosa madeni. inshort tunataka kuona vitu vyakuon3kana,inshu ya madeni iache Kama ilivyo
😍😍 Asante crdeUnadhani kama asingekuta madeni asingeweza kupeleka kwenye maendeleo hiyo pesa?
Hii ni roho mbaya tuu
😍😍 Kazi iendeleeDaah am speechless,
Mbona mama anapatia sana,
Kwanini wengine walishindwa?
Niko na mama wakati wote mniombee
Yule Mbwiga pia alisema niombeeni tukamuombea mpaka Cha mtema kuni.Hata wewe hutamwombea?
Daah hizo zilikuwa ni laana sio maombiYule Mbwiga pia alisema niombeeni tukamuombea mpaka Cha mtema kuni.
Hii lugha ilianza kipindi cha mwendazake, si kuwahi hata siku moja huko nyuma kipindi cha akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na wengineo kusikia eti fulani katoa. Tulizoea kusikia serikali imetoa, na pia hakukuwa na kitu kinaitwa serikali ya awamu fulani, noo ilikuwa ni SERIKALI basi.Eti mama katoa pesa utafikiri za kwake!
Mazoea hujenga tabia ila pia tuko sahihi tunaosema hivi kwani tunamaanisha Rais Samia kama Taasisi sio Rais Samia kama Rais SamiaHii lugha ilianza kipindi cha mwendazake, si kuwahi hata siku moja huko nyuma kipindi cha akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na wengineo kusikia eti fulani katoa. Tulizoea kusikia serikali imetoa, na pia hakukuwa na kitu kinaitwa serikali ya awamu fulani, noo ilikuwa ni SERIKALI basi.
Kwani kwa sasa ukisema "Rais amekemea"..... Wewe unaelewaje?Mazoea hujenga tabia ila pia tuko sahihi tunaosema hivi kwani tunamaanisha Rais Samia kama Taasisi sio Rais Samia kama Rais Samia
Naelewa kuwa ni taasis,Kwani kwa sasa ukisema "Rais amekemea"..... Wewe unaelewaje?
Yaani Waliotengeneza tatizo, leo hii ujifanye unawashukuru kwa kupambanio tatizo walilolitengeneza wenyewe!! Ccm ni kundi lililoasisi madeni makubwa ya nchi. Hivyo wakipambania kulipa ni Jukumu lao!Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.
View attachment 2003891
Uandishi umefanana kama ule wa kwenye madaraja na mawe makubwa barabara zote nchi zima"mwigulu raisi 2015".Toa sababu,
Mwigulu mwenyewe ataka urais ni ngumu sana kumbrand mwenzake ila sijui kama ni kweliHakuna shaka mwenye account hii ni mwigulu n
Uandishi umefanana kama ule wa kwenye madaraja na mawe makubwa barabara zote nchi zima"mwigulu raisi 2015".
Kesho utasema Rais Samia hajafanya kitu,Yaani Waliotengeneza tatizo, leo hii ujifanye unawashukuru kwa kupambanio tatizo walilolitengeneza wenyewe!! Ccm ni kundi lililoasisi madeni makubwa ya nchi. Hivyo wakipambania kulipa ni Jukumu lao!
DaahEti mama katoa, wee jamaa unaonekana una umama mwingi sana.....