FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Ninafikiri huyu ni Samia mwenyewe anajipigia promo..maana post zake ni kujikweza tuuu mwanzo mwisho.

Fanya kazi mama, ni wajibu wako. Huna sababu ya kujinadi kiasi hicho.
Kibaya kinajitembeza ila kizuri siku zote hujiuza.
Una fikra kama zangu
Huyu jamaa ni either samia mwenyewe au msaidizi wake wa karibu huwa anamtuma aje alete uharo wake humu
 
Kesho utasema Rais Samia hajafanya kitu,

Leo fahamu tu mwaka huu atalipa madeni TZS 11T ,ili unapolaumu jua kabisa hili pia lilifanyika
Yaani wewe leo ukope mwenyewe, kesho nikusifie kulilipa deni ulokopa mwenyewe?mimi ntakua Kichaa!!
 
Una fikra kama zangu
Huyu jamaa ni either samia mwenyewe au msaidizi wake wa karibu huwa anamtuma aje alete uharo wake humu
Poleni sana,

Bahati mbaya sana mimi hakuna kiongozi yeyote anayenifahamu wala kunituma isipokuwa naipenda Sana Tanzania yangu,

Sina nchi nyingine mimi zaidi ya Tanzania,

nitafia hapa na kuzikwa hapa, ,

Ninaowatoto wadogo natamani wakute Tanzania iliyoimara yenye upendo na amani,

Nikimuangalia Rais Samia nayaona yote haya kwake ndio maana nitamsemea wakati wote nipatapo nafasi,

Mimi silipwi hata mia, wala situmwi na yeyote,

Mimi naamini zaidi kwenye facts hasa namba siamini kwenye uongo na unafiki

uwe na amanib tele,

#KAZIIENDELEE
 
Wewe chawa komaa lakini too late , Magufuli kaondoka kasanua kila kitu ,hayupo mdanganyika yoyote tena nchini,mnaangaliwa tu kwenye bainokla,muda ukifika hamtoamini kitakachotokea
 
Kakopa nani mkuu,Ila fahamu mwaka huu mengi yamelipwa so relax
Nimelarax sana mkuu. Kwa ushauri tu.mnakosea sana kusema Mama kalipa hiki ama kile, kwa muktadha huu mnamtwisha mama Mzigo hata usio wake. Kwa mfano kulaumu Rais badala ya Serikali iliyochini ya chama hamuoni kama mnakosea?.Fikililieni Vizuri!!
 
Wewe chawa komaa lakini too late , Magufuli kaondoka kasanua kila kitu ,hayupo mdanganyika yoyote tena nchini,mnaangaliwa tu kwenye bainokla,muda ukifika hamtoamini kitakachotokea
Acha kumtaja mpendwa wetu kwenye mambo ya shari na uongo, mwache apumzike,

Amesanua nini?
 
Nimelarax sana mkuu. Kwa ushauri tu.mnakosea sana kusema Mama kalipa hiki ama kile, kwa muktadha huu mnamtwisha mama Mzigo hata usio wake. Kwa mfano kulaumu Rais badala ya Serikali iliyochini ya chama hamuoni kama mnakosea?.Fikililieni Vizuri!!
Mbona mambo yakienda vibaya mnamlaumu yeye?

Why yakiwa vizuri asiwe yeye pia?

Kwani kunashida gani hapo?
 
Analipa madeni kisha amekopa 1.3t! Uza ubongo huo bro. Hiyo 1Ot aliyotoa kamlipa nani na kaitoa wapi? Kama makusanyo kwa mwaka mwaka ni 23t, na matumizi ni 20t+, hiyo 10t kaitoa wapi wakati hana hata mwaka madarakani? Hivi umetuonaje mpigaji propaganda mfu?
 
Reactions: BAK
Pacha hongera sana mkuu,

Kazi unayofanya ni kubwa kwa mustakabali wa nchi wa leo na kesho,

Hakuna kama Samia na huo ndio ukweli,
 
Mbona kaandika anaendelea kulipa wewe unaionaje hiyo?
 
Nilishakwambia njoo CCM
 
Hakika huyu mama anastahili pongezi,
Tuache maitikadi tujali hiki anachokifanya Rais wetu kipenzi,
10trl madeni ya mwaka khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…