Mbowe ndio mratibu wa hili genge akitumia watu wake aliokua amwaaminisha uongo ...tuanze na Joni Mrema ni juzi alizusha kwamba anafukuzwa uanachama!!!Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Alafu kosa kubwa la uongoz huu wa lissu, waache kabisa kuendeshwa na wajinga wachache wa mtandao wa xUkisoma comments nyingi humu zinazounga mkono huu uongozi ni wazi utagundua wamezungukwa na utoto sana!
its too late, waje tunawasubiri watakavyotunguliwa na wananchi kwa mawe wasaliti wakubwaView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
watapoteana hao wasaliti,hata wafadhiliwe namama abduliTAL CDM inamfia mikononi mwake
Huu ndio ujinga wa vyama vya siasa vya kiafrica visivyo na mrengo unaoeleweka. Yaani Chama hakina itikadi kila mmoja anajiona yuko sahihi. Sasa wameanza fujo na kuna mmoja hapo rahisi kutumika na mshindani wao. Na njaa waliyonayo ndio wataweza kweli kukataa kutumika? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
hawana tofauti na M23Kundi mshenzi ambalo haliwezi hata Kubuni jina linalosimamia maslahi ya matumbo yao linatumia Jina la G 55 shenzi kabisa...Njooni mkoani muone
Nitahudhuria kuja kuwasikia akili kubwaView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Mtatupiga mawe sisi tutawapiga kwa hojaHawa wakija mtaani mawe tu tunalala nao mbele
hapo ndipo mtu unabaki kushangaa. Chama kimetangaza hakuna uchaguzi na mtu anautaka ubunge, sasa si ahamie kwenye vyama vingine vilivyosema vitashiriki uchaguziSasa km mmeahidiwa mpunga si muhamie huko kwake ili awape ubunge na pesa bila chokochoko..!! This time wananchi tutawapiga mawe mkileta makomwe yenu..!!
Niudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeoHudhuria mikutano yake utajua kila kitu.
Wewe unaomba usogezwe watu wapo kwenye maandalizi tayari na anaomba kama nani wakati WENGINE wote wanajiandaa na uchaguzi ivi vitu angefanya BAADA ya uchaguzi ILI kuitafuta reform sio MWAKA huu kwisha feliWewe upo wapi?. Lissu kaomba uchaguzi usogezwe mbele. Mabadiliko ya msingi yafanywe kwanza.
Upumbav tu, hawana jipya na wajiandae kuzomewa.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Kahudhurie mikutano ya babu wasira ndiyo size yako chawa weweNiudhurie ya nn MTU anasema mtakiwasha hana ata rungu na polisi wapo JE alikiwashaga Lini na ni Tanzania ipi iyo utakayo kiwasha kwa watu wapi hao watakao toka Amna ktu kama icho ashafeli mpaka apo anachofanya n kelele zisizo na matokeo
Kuna mtu atasilikiliza hao makada na ma CHAWA wa ccm?!!G55 kuzunguka nchi nzima
Hayo magari kila mkoa na helkopta wametoa wapi, au ni pesa ya Abdul inakuja kivingine?Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Mbaya zaidi anawndeshwa na mitandaoTAL CDM inamfia mikononi mwake