Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
Hajajitangaza, amezibu hoja ili watu waelewe tofauti ya msomi kama yeyey na Makonda. Tatizo ni kwamba watu waio na elimu ya kutosha ndio wanaomuelewa Makonda na kukubali ujinga wake
 
Mimi naona bora wauane tu
 
Nyukaneni mkimaliza lieni kilio kikuu kwani Lema anakwenda kuchukua Jimbo lake mapema sana saa 2 asubuhi
 
Safi sana Gambo huo jamaa ni bully mpe za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…