Amesahau wakati akiwa RC alivyokuwa akimfanyia aliyekuwa Mbunge wa Arusha aliyepita? Anafikiri kuongoza ni mchezo wa kombolela?Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake....
Gambo anasababu zipi hata aonekane ni kiongozi asiyeyumbishwa?.Gambo anajiamini sana.
Ni kiongozi asiyeyumbishwa.
Aliwahi kusema vijana walioko UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!
Wafu wanazikanaSio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo[emoji23][emoji23]
Boss wako ni kilaza!Sio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo😂😂
View attachment 1679553
Wewe unamjua boss wangu kweli🙄?Boss wako ni kilaza!
Boss wako ni kilaza!Sio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo😂😂
View attachment 1679553
Kama conclusion aliyokupa ndiyo hiyo, huyo ni kilaza na ana majungu ya kufa mtu!Wewe unamjua boss wangu kweli🙄?
PoleeBoss wako ni kilaza!
Kama conclusion aliyokupa ndiyo hiyo, huyo ni kilaza na ana majungu ya kufa mtu!