Gardner G Habash: Najuta kuachana na mke wangu wa kwanza

Jamaa ameuchezea ujana wake,wakati yuko mbichi anawaka, wanawake walikuwa wanamhusudu,kuanzia kule Mwanza na yule mke ya muzungu mpaka akaja huko Dar,akawa yeye ni mtu wa Ganda la ndizi,alikuwa hajui uzuri una mwisho,pia kuna kuzeeka,sasa wanawake wote wanataka ving'asti wenye damu moto wavifuge,sio mizee iliyopoa kama bia ya tusker.
 
Hakuna kitu kibaya katika maisha (hasa ya kimapenzi/ndoa) kama majuto.
Jambo likishatokea (kuachana) kubali na uangalie namna nyingine.
Kulikubali tatizo na kuangalia namna ya kulitatua huishia katika furaha.
Majuto huvunja moyo.
Maisha ni mafupi sana kwa majuto.
 
Hahahahaaa
Mkuu,hii japo chungu lakini dawa.
 
Mmmh hili ni somo kuna umuhimu mkubwa kumuangalia huyu mke niliye naye nisije juta kama gardner
kama ukipata mke mwenye murano unamuacha tu, ukitoswa unatubu kama kaka gadner
 
Haya maswali angeulizwa sadifa angetiririka kama taarab za nasma kidogo
ahahaha jamani muacheni sadifa wa watu, yeye hajui kukaa na kitu rohoni kama warumi, ukianza tu anaropoka yotee, khaa kweli wastara alipata mume
 
Ana maana gani kujuta wakati mke alimuacha mwenyewe kwa hiyari yake kwa tamaa za mali za jide? matokeo yake kaondoka na boxer tu *****, jide mbaya
 
Kama yule Dada kaolewa bora maana aliadhirika sana hadi kwenye magazeti Gardner alisema si mke wake wamezaa tu Leo kasahau anadai alikuwa mke kweli dunia hii TENDA JEMA UTENDEWE
Tafadhali naomba km una picha yake
 
jide yupo juu akae akijua
...yuko juu kwa sekta gani..? be specific , maana mwenzio katema mzigo inamaana kuna mahali anapataka yeye pamepungua,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…