isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,407
Jamaa ameuchezea ujana wake,wakati yuko mbichi anawaka, wanawake walikuwa wanamhusudu,kuanzia kule Mwanza na yule mke ya muzungu mpaka akaja huko Dar,akawa yeye ni mtu wa Ganda la ndizi,alikuwa hajui uzuri una mwisho,pia kuna kuzeeka,sasa wanawake wote wanataka ving'asti wenye damu moto wavifuge,sio mizee iliyopoa kama bia ya tusker.