Alie achwa nani!?!! Yahaya ni nani kati ya hao wawili? Nani asie kua hata na makazi mpaka muda huu? Nani kasitiriwa na gari asiumbuke mjini. Kuwa mwanaume sio kukojolesha tu.... Kutafuta mkwanja ni sifa ya kwanza... Sijui mchaga gani mshamba hivi.
we mwanamke acha matusi hayo haaa!!Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
Mkuu kuna msemo unasema (Mjinga Akinyamaza Kimya, Uonekana Mtu Mwenye Busara!)Ukibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha anaugomvi nae.
ehe! more clarification pleaseKuna wanaume na wenye uume. Ni vitu viwili tofauti.
Mkuu kuna msemo unasema (Mjinga Akinyamaza Kimya, Uonekana Mtu Mwenye Busara!)
hapa kuna jambo la kujifunza kwa huyu ndugu, ni bora kunyamaza kuliko kuongea siku zote, ili kulinda heshima yako.
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.
"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "
Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.
VIDEO:
Linatokana na neno kojoa....=kojoza =mara nyingi"nimemkojoza" sijaelewa hii Lugha..
sijui alikuwa amekula maharage ya wapi mtu zima hovyo huyuGadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.
"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "
Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.
VIDEO:
"nimemkojoza" sijaelewa hii Lugha..