Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Alie achwa nani!?!! Yahaya ni nani kati ya hao wawili? Nani asie kua hata na makazi mpaka muda huu? Nani kasitiriwa na gari asiumbuke mjini. Kuwa mwanaume sio kukojolesha tu.... Kutafuta mkwanja ni sifa ya kwanza... Sijui mchaga gani mshamba hivi.

Kwani Gadner ni mchaga? si mtu wa Tanga huyu......alipokuwa kimya kwa muda mrefu .... alionekana mtu mwenye hekima na busara....Wanasemaga Everybody is wise untill they open their mouth.

Buswelu.
 
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
we mwanamke acha matusi hayo haaa!!
 
Ukibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha anaugomvi nae.
Mkuu kuna msemo unasema (Mjinga Akinyamaza Kimya, Uonekana Mtu Mwenye Busara!)

hapa kuna jambo la kujifunza kwa huyu ndugu, ni bora kunyamaza kuliko kuongea siku zote, ili kulinda heshima yako.
 
Mkuu kuna msemo unasema (Mjinga Akinyamaza Kimya, Uonekana Mtu Mwenye Busara!)

hapa kuna jambo la kujifunza kwa huyu ndugu, ni bora kunyamaza kuliko kuongea siku zote, ili kulinda heshima yako.

Hayo ni maneno ya Suleiman katika kitabu cha mithali mkuu, kunyamaza ni njia bora ya kuficha vitu vingi sana. Huepusha matatizo mengi yasiyoyalazima pia.
 
Hapa ugomvi upo tena mkubwa hatua za haraka zisipochukuliwa tutasikia tusiyotaka kusikia ni suala la muda ukifika.

Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

VIDEO:

"nimemkojoza" sijaelewa hii Lugha..
Linatokana na neno kojoa....=kojoza =mara nyingi
Hivyo basi..yeye amemkojoza mara kadhaa...ikiwa na maana kwamba kuna kitendo hufanyika ili yeye apate...kukojoa.....eeeh mmmh na tukienda mbaali zaidi...si mkojo huu unaoufahamu....ni mkojo wa wa watu wazima.....
 
Ni upumbavu kwa mwanaume kutoa maneno kama hayo mbele ya halaiki ya watu, inaonesha Ni jinsi gani anaumia baada ya kuachana
 
Ningemuona mpuuzi na asie na adabu kama tu angekana kuwa hajawahi kumkojoza huyo binti alietajwa humo
 
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

VIDEO:

sijui alikuwa amekula maharage ya wapi mtu zima hovyo huyu
 
Watampandishia mshahara Clouds, maana kamkosha boss. Hekima na busara ni zero kabisa
 
1462792464602.jpg

Hivi ndivyo Naibu Waziri wa Afya Ndugu Kigwangala alivyotamka kupitia Twitter.

Hii imekuja baada ya Gadna akiwa kwenye jukwaa la Miss TIA kutamka kwamba " sina ugomvi na yule bidada ( Jaydee), nimemkojoza kwa miaka kama kumi na tano hivi " .
 
Hawa Clouds naona kama wanachanganyikiwa sasa.
 
Back
Top Bottom