Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

inawezekana, maana nimemuona kwenye tv akijitamba tamba kidogo kuhusu mshahara wake. alafu pia aliporudi clouds si alipewa ile gari discovery 3, kwahiyo hadhi yake inawezekana ni kubwa.
 
Babby Kabaye ndiye anayelipwa zaidi kuliko jiabashi..
 
Afu kuanzia mtoa mada mnaboa
Mara unaijua anayolipwa charles
Mara masoudy mara mnijua anayolipwa fulani???
Shubamitiiiiiiii kama mnajua si mseme sasa
 
Nafikiri atakuwa anaongoza huko huko CMG na sio bongo nzima
 
Ni ukweli.

Sababu
(1) clouds ilibidi itumie nguvu kubwa kumrudisha kutoka e fm.Ilikua in lazima wampe mpunga mrefu ili aache kazi e fm
(2)Clouds uwa wanawapa bonus watangazaji wao kutokana na matangazo,Jahazi lina matangazo mengi sana kwaiyo ni haki kulipwa kuliko mtangazaji yeyote nchini.
 
Acha unafki mkuu, sema amehojiwa na Shilawadu na hakutaja fedha zaidi ya kucheka cheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…