Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Sio kweli.ila tuache siri za watu.
 
hata yule mwanamke wa usiku kuna siku alihojiwa na kituo cha tbc na mtangazaji fulani mkurya akadai pia yeye naye analipwa kuliko watangazaji wote..kwa clouds kila mtu kulipwa kuliko wote jambo la kawaida, ngoja waje ma brands manager nao waje waseme ni walipwaji hatari
 

Ajathibitisha, amesema! Nyie wazee wa kuja ku conclude vitu msivyovijua wala kuwa na uhakika navyo mna matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…