Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari cha chini, but walau ungesema Crown..!!

Bongo si ajabu 90% ya magari ni ya kizamani, wengi wanatumia magari yalioyoundwa miaka 10 au nyuma zaidi ya hapo...
 
 
samahani boss hiyo chuma yako cc 3000, inaenda km ngap kwa lita 1
 
Hata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Kaka mimi siyo nabii lakini wewe unatumia bangi! Kataaa nikushangae
 
kwa

kwa kias fulani bado unajitafuta mkuu , honestly eb tuliza akil kidogo sab mara unazungumzia prado mara blabla zingne kwahiyo sisi tukufanyje?? tafuta hela mkuu hutapat kbs muda wa kunadi vi baby walker huku ukitambua waz watu wanamilik magar ya maana na wamenyamaz wanakuchora polee.
 
Jamii forum ni home of great thinker..
Humu kabla ya kuchangia hua tunafanya analysis kama great thinker..
Hapa sisi tutaangalia risk benefit ratio.
Risk ya kuendesha gar kwa speed Kali ni kubwa kuliko benefit yake...
Wewe ni kijana mwenzetu acha kuendesha gari kwa speed kwa sabab bado tunakutegemea katika ujenzi huru wa taifa hili..

Hatuna tatizo na beevis tuna tatizo na speed yako..
Speed Kali inaua mkuu
 
CRESTA, BREVIS, MARK 2 OLD MODEL, ni kundi moja.

Out of fashion cheap cars ila speed na comfort ipo vizuri. Kama si mtu wa kwenda na Fashion au una bajeti hizi za M5 sijui M3 na unataka gari used hii ndo gari yako.
Hahahaha..wewe....
 
Reactions: Tsh
Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari za chini, but walau ungesema Crown..!!
Mkuu juzi nimekutana na brevis namna EFF, watu wa Masafa marefu huwambii kitu kwa brevis pia kumbuka wengine wananunua brevis huku akiwa na gari nyingine
 
Wewe ni mpumbavu. Na sio dereva. Majigambo mengi ila nikikupa chuma twende Mwanza utajinyea.

If you can't drive, shut the fak up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…