Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..

Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..

Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Pia primio x , primio f zipo vizuri kwa gari za Chini.

Piga Sana root ndefu na zipo powaa Sanaa 😊
 
Wewe ni mpumbavu. Na sio dereva. Majigambo mengi ila nikikupa chuma twende Mwanza utajinyea.

If you can't drive, shut the fak up
Kua na lugha za stara brother otherwise usi tweze utu wa watu unaanzaje.

Kutolea lugha chafu watu ambao wanakupa experience zao

Be smart brother 🤓
 
Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..

Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..

Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Mkuu upo Sahihi kabisaa..
Ila Kwa watu wanaosafiri mara Kwa mara brevis ndiyo gari tamu zaidi hasa Kwa watu wanaotunisha misuli, brevis ya Cc 3000 hiyo mashine hakuna cha crown wala Prado inaweza kufuta hiyo ni ndege ya chini
 
Umeendesha wapi?

Isijekuwa umesogeza gari Tegeta Posta unasema umeendesha gari, ilhali miaka yote 20 ukitaka kwenda mkoani unapaki gari unapanda ndege au basi unakuwa at the mercy of a driver you do not know who drives at a speed you cannot control
 
Hata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Mkuu,
Kuna muda inabidi ujue kua ukitokea dar unaenda mwanza ni route ndefu .

Ukisafir usiku let say utoke dar saa 12 jion mpaka ufike dodoma utakua umepishana na miroli kibao so na hako ka brevis kake itakua issue Sanaa

Humu ndani Kuna nyuzi nyingi sanaa zimelalamika kuhusu brevis

Wengine huuita jini mla mafutaa Mara nyingi watu wameiponda Sana brevis
 
Kaa na gari yako brand new huwezi kusafiri kilomita 1300 kwa kuendesha maximum ya 80kmph.

Panda ndege kama huwezi kuendesha chuma road au kama gari ya kampuni yako haikuruhusu.

Long distance driving is not for everyone, and anyone who says they can max at 80kmph is not a long distance driver in this country
 
Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari za chini, but walau ungesema Crown..!!
Alafu nikwambie kitu mkuu...? Huyu jamaa ni mshamba wa magari period.
Haangalii level ya fuel consumption, stability, engine capacity.... ye anakwambia akitangulia mbele kaa mbali, what if niko na gari yenye uwezo kuliko hiyo out dated car yake?
Zama hizi anaongelea Brevis kweli?🤣🤣
 
Wewe ndio umeongea.

Speed is subjective

Kuna majitu yameropoka humu eti maximun 80kmph, that is bullshit.

Endesha mwendo salama kwa mazingira husika, ila mtu yoyote anayesema hakuna sehemu ya kuendesha zaidi ya 80kmph Tanzania nzima, moja kwa moja ni very inexperienced driver.

Learn to drive defensively. Know your limits. Know the limits of your vehicle. Allow space for mistakes by other drivers. Be attentive and focused. Do not drive faster than you can see ahead.

Hata 160 ni spidi safe sana kwa baadhi ya barabara nchi hii ukifuata maangalizo hayo
 
Kweli natoka Mbeya kwenda Mwanza nitembee 80Km/hr. Hapo si nitakesha barabarani?. Kama gari ni nzima kuna maeneo unatembea 140-150Km/hr kama ni mwenyeji wa njia, na haina shida.
 
Brevis labda uongelee mafuta, ila ni gari moja stable sana barabarani, kwa safari ndefu kama huna njaa ya mafuta hiyo gari utaikubali sana. Nimewahi kuitoa Dar to Mbeya hakika iko vizuri sana, kama ni mwenyeji wa barabara hiyo 150km/hr ni speed unatembea nayo vizuri tu kwa baadhi ya maeneo
 
Hii safari inakuwa umeilazimisha,mambo ya Nini,hawakukosea walisema :Kawia ufike!
 
Usiseme majitu,heshimu binadamu wenzako,nao wanazungumzia uzoefu wao,usiunderate watu kwa kuwa wewe umesimamia hiki unachokuamini!.
 
Umeendesha wapi?

Isijekuwa umesogeza gari Tegeta Posta unasema umeendesha gari, ilhali miaka yote 20 ukitaka kwenda mkoani unapaki gari unapanda ndege au basi unakuwa at the mercy of a driver you do not know who drives at a speed you cannot control
Acha dharau za kike we mtoto,usidhani kila mtu ni wa kumdharau,nimeendasha Tanzania cigarettes co ltd,kaulize ulete hizo dharau zako humu Unadhani naongea kufurahisha mtu Naongea nilicho experience nacho.
 
Kweli natoka Mbeya kwenda Mwanza nitembee 80Km/hr. Hapo si nitakesha barabarani?. Kama gari ni nzima kuna maeneo unatembea 140-150Km/hr kama ni mwenyeji wa njia, na haina shida.
Nenda tuu hiyo 140_150km/hr, Yakikukuta usiseme umerogwa!
 
These are facts not beliefs.

Not everyone is capable of long distance driving. And the quickest way to identify said people is by their take on correct highway cruising speed.

Mmetumia lugha kali sana kwenye huu uzi, mixer kutishia watu vifo plus kuwaita washamba e.t.c

Learn to eat from the same pot you serve.
Usiseme majitu,heshimu binadamu wenzako,nao wanazungumzia uzoefu wao,usiunderate watu kwa kuwa wewe umesimamia hiki unachokuamini!.
 
Acha dharau za kike we mtoto,usidhani kila mtu ni wa kumdharau,nimeendasha Tanzania cigarettes co ltd,kaulize ulete hizo dharau zako humu Unadhani naongea kufurahisha mtu Naongea nilicho experience nacho.

Hatuhitaji employment history yako. Kwamba TCC ndio nini yani?

Umeshajionyesha kuwa wewe sio dereva wa masafa, kaa kwa kutulia.

80kmph maximum speed? Highyway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…