Akili huna kwani hizo crown haziwezi kupata ajaliSiku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..
Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..
Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..Hata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Utakuwa sio mchumi Wewe!CC3000 sio wese la kitoto!Hapa hatuongelei mauzo na kupitwa hii chuma sio ya kufukuzana nayo natumia mwenyewe siwezi kuiuza
Yaani wewe akili huna hufai hata kuletewa mgonjwa Dr kichwani 0Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..
Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..
Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
AsanteHongera
Mbaya zaidi wamejifunzia automatic gear,sisi wa zamani ndio madereva haswa watake wasitake!Spidi Kali sio udereva ni masifa tuu ya kipumbavu,kila ajali ukifuatilia ni gari automatic.Kweli tumechoka kuzika kwa Uzembe wa madereva wazembe.Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..
Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..
Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..
Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..
Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?
Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..
Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
Wa kuniuzia kivipi tafuta pesa usione magari ni majini nyie mmezoea kuweka mafuta ya 10,000Tangazo limekaa kimkakati sana mkuu, utapata mshamba mshamba wa kukuuzia hilo jini.
Mmekutana wenye chukiMbaya zaidi wamejifunzia automatic gear,sisi wa zamani ndio madereva haswa watake wasitake!Spidi Kali sio udereva ni masifa tuu ya kipumbavu,kila ajali ukifuatilia ni gari automatic.Kweli tumechoka kuzika kwa Uzembe wa madereva wazembe.
Dahhmm aisee gari yangu naipenda mnooo....nimepiga shoo nyingi za kibabe mleee hadi rahaa, full makojozi ndani ya ndinga! utam hataree
View attachment 3130527
Kazi ya Kukushauri nimemaliza yaliyobaki ni Jukumu LakoYaani wewe akili huna hufai hata kuletewa mgonjwa Dr kichwani 0
Kufa utakufa tu hata kama utaenda speed 20 kama siku yako imefikaOk sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..
Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..
Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..
Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..
Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?
Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..
Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
Nimesema Hili akaniona MchawiAgain, hizo gari zimeshapitwa na wakati, zipo nyuzi nyingi za Brevis zimeandikwa 5 yrs back, jitahidi uji-update
Inawezekana lugha waliyotumia sio rafiki kwako ila nenda mwendo wa kawaida tu mkuu hiyo 80km/h na 100km/h sio mbaya magari yana mapungufu mengi sana yanapokua kwenye mwendokasi ndio maana likitokea lolote dereva anashindwa ku handle tatizo na kusababisha ajali mbaya kumbuka Brevis ni gari ya zamani sio hizi za 2020 ambazo nazo kuendesha inatakiwa unyate pia..Mmekutana wenye chuki
Tafuta pesa usione magari yanakula mafuta mimi kwa mafuta hakuna shida hii ni gari nzuri sana kwa safari nasafiri sana na gari ni matunzo ukiiona si utatamani nikupeBrevis yenye Engine ya D-4 VVTI zina bwia sana wese!! Hapo kwenye kuchanganya ni sawa lakini ukiendesha crown utaona hiyo brevis ni takataka.
Again, hizo gari zimeshapitwa na wakati, zipo nyuzi nyingi za Brevis zimeandikwa 5 yrs back, jitahidi uji-update
Samahani Si kwa Ubaya ningependa Kuuliza Hili ni gari lako la Ngapi?Tafuta pesa usione magari yanakula mafuta mimi kwa mafuta hakuna shida hii ni gari nzuri sana kwa safari nasafiri sana na gari ni matunzo ukiiona si utatamani nikupe