Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Hata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..

Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..

Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..

Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..

Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?

Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..

Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
 
Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..

Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..

Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Yaani wewe akili huna hufai hata kuletewa mgonjwa Dr kichwani 0
 
Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..

Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..

Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..

Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..

Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?

Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..

Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
Mbaya zaidi wamejifunzia automatic gear,sisi wa zamani ndio madereva haswa watake wasitake!Spidi Kali sio udereva ni masifa tuu ya kipumbavu,kila ajali ukifuatilia ni gari automatic.Kweli tumechoka kuzika kwa Uzembe wa madereva wazembe.
 
Brevis yenye Engine ya D-4 VVTI zina bwia sana wese!! Hapo kwenye kuchanganya ni sawa lakini ukiendesha crown utaona hiyo brevis ni takataka.

Again, hizo gari zimeshapitwa na wakati, zipo nyuzi nyingi za Brevis zimeandikwa 5 yrs back, jitahidi uji-update
 
Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..

Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..

Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..

Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..

Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?

Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..

Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
Kufa utakufa tu hata kama utaenda speed 20 kama siku yako imefika
 
Mmekutana wenye chuki
Inawezekana lugha waliyotumia sio rafiki kwako ila nenda mwendo wa kawaida tu mkuu hiyo 80km/h na 100km/h sio mbaya magari yana mapungufu mengi sana yanapokua kwenye mwendokasi ndio maana likitokea lolote dereva anashindwa ku handle tatizo na kusababisha ajali mbaya kumbuka Brevis ni gari ya zamani sio hizi za 2020 ambazo nazo kuendesha inatakiwa unyate pia..
 
Brevis yenye Engine ya D-4 VVTI zina bwia sana wese!! Hapo kwenye kuchanganya ni sawa lakini ukiendesha crown utaona hiyo brevis ni takataka.

Again, hizo gari zimeshapitwa na wakati, zipo nyuzi nyingi za Brevis zimeandikwa 5 yrs back, jitahidi uji-update
Tafuta pesa usione magari yanakula mafuta mimi kwa mafuta hakuna shida hii ni gari nzuri sana kwa safari nasafiri sana na gari ni matunzo ukiiona si utatamani nikupe
 
Samahani Si kwa Ubaya ningependa Kuuliza Hili ni gari lako la Ngapi?
Na Umenunua Lini?

Ukijibu hayo maswali yatatupa Analysis ni kipi hasa tunadeal nacho
 
Back
Top Bottom