Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Japo watapinga vikali ila ndio ukweli 😁!
Toyota looks like a boring car to some people but sells like a hotcake! Reliability ndo kila kitu!
Na pesa kwenye mfuko wa shati naambiwa BMW 1 series na TOYOTA Corolla 110 bado nitapeleka pesa TOYOTA na uhakika wa kutumia bila stress na kwenye mazingira yetu bila mawazo. Na ndio utofauti wa Mjapani na Mzungu huko hapo. Na bado kuna watu wataniita mshamba yaani πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†

Mkuu kwani gari ni sienta tu mzee, si kuna gari za viwango tu kama ES300 ya mwaka huo still ni gari ya uhakika ukiachilia hizi common cars kama GX110 au Verossa mbona ziko comfortable tu kama hio Benz unayotambia? Au ukipanda benz haikanyagi lami πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mjerumani kawakaaa. Gari zipo za madaraja tofauti tofauti kwasababu hali za kiuchumi za watu pia zipo tofauti hivyo hivyo
 
Kingine unajua wabongo tuna ile kasumba sijui ulimbukeni wa kutaka kujitutumua tuonekane tunazo ila matokeo yake ni msiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Hamna fedhea kama kupaki gari ati imeharibika fuel pump, unaenda kudandia mwendokasi na majirani zako 😁😁😁! Ukiangalia bei ya pump unajisemea tu wacha ikae tu kwanza ila mwenzio anaenda Ilala analokota pump na fundi wa kuja kuifunga. Kesho yuko barabaran na GX110 yake
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mjerumani kawakaaa. Gari zipo za madaraja tofauti tofauti kwasababu hali za kiuchumi za watu pia zipo tofauti hivyo hivyo
Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
 
Watu wanataka kuishi juu ya vipato vyao.
 
Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
Na bado ataomba lift, na kuanza isifia toyota, huku kamasi linamtoka akilia gharama za gari lake la ujerumani.. πŸ˜€πŸ˜€
 
Ishu hapa ni uwezo wa kununua hayo magari mazuri, na ndio maana hata hapa wenye hayo magari ni watu wenye fedha zao.
Baadhi yetu tunafahamu hayo magari mazuri lakini tunaendesha ist kwa sababu hatuwezi kuyanunua hayo
 
Tutakutana garage, bill yangu inakuja 120,000/- na ninaondoka na gari Wajerumani wanapakishwa garage na bado bado ana subiri spare ya kuagizwa na bill ya 3.5m juu
Unakutwa wajerumani wanafungana mota πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati anaeshauri yeye kipato cha uhakika kuna wale wana kondoo wanaswagwa tu na upepo,,,

"Aisee chief vuta Volvo XC90 iko vizuri sana comfortably achana na Toyota Rav 4 spea zipo!"

Baada ya miezi 4 mtu anadondoka humu na ID mpya,,, "Natafuta fundi ni swap engine ya Volvo niweke ya Rav 4" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajiuliza hizi tabu za nini jamani!
 
Mimi kuna siku kama jini kisirani alinipitia,gari iliua bearing ya compressor na za fan belt zote 2,nikasogea urafiki wanapokata magari nikazipata kwa kama ya kuokota vile 🀣,bei niliyoambiwa ilala kwa bearing ya ac nusu yake nikapata bearing zote 3 pale urafiki 🀣,mjini kweli mipango
 
Ishu hapa ni uwezo wa kununua hayo magari mazuri, na ndio maana hata hapa wenye hayo magari ni watu wenye fedha zao.
Baadhi yetu tunafahamu hayo magari mazuri lakini tunaendesha ist kwa sababu hatuwezi kuyanunua hayo
Hayana hata bei kuzidi toyota, bei ni kama sawa tu, Audi A4 showroom haipishani sana na hiyo IST. Cha kujiuliza kwa nini watu hawayanunui sana? Na wanao zimiliki wanazimudu kwa kiasi gani?
 
Kweli kabisa East Africa sisi ndio tunamiliki vigari cheap, mara utasikia Nissan spare ghali kamwe huwezi kuta gari za maana km Peugeot, Renault, BMW ,Volkswagen, Audi Jeep,Toyota tundra nk tumekalia kuigana tu kila mtu ni 1st ,Wish Harrier na Rav4 ,uki cross mpk hapo Kenya wenzetu hawana ujinga km wetu mtu ananunua gari yeyote ya choice yake sio kufata mkumbo.
 
Urafiki una maana manzese ile au? Dah, abarikiwe mjapani wetu Toyoda. Maana ingekuwa mjerumani ilikuwa utafte hela ya ada ya mtoto ya mwaka mzima kurekebisha vitu vidogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…