Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Nimemuuliza yeye Maybach au G Wagon hazipendi? Si azilete tumuone nazo 😁😁😁 maana kauliza swali la ajabu kidogo!
 
Dan DTI gari tunazonunua tz hazipi kwenye website ya TOYOTA .Nikipata bundle nitaangalia kudhibitisha kama hii kauli ni kweli.
Ila na sis tumezidi magari mengi yana zaidi ya miaka 15 inawezekana yashafutwa kwenye kuyazalisha na kuuza.
 
Umeishazoe mjerumani ,mjep huwezi kumkubali. Kuna mzee mmoja yeye wankishua toka udogoni na wanatumia kwao Europen car toka kitambo, kuna siku akashika crown alishangaa njia nzima anaisifia [emoji3][emoji3][emoji3]
Haha. Crown.

Ongeleeni hizo Lexus.

Achaneni hizo gari za vichochoroni hata kwenye website ya kampuni haipo.

Nasikia mnaziita ndege za ardhini. Haha.
 
Dan DTI gari tunazonunua tz hazipi kwenye website ya TOYOTA .Nikipata bundle nitaangalia kudhibitisha kama hii kauli ni kweli.
Ila na sis tumezidi magari mengi yana zaidi ya miaka 15 inawezekana yashafutwa kwenye kuyazalisha na kuuza.
Hata tokea miaka ya 2005 nimekuwa nafuatilia, ukitaka datails za magari yetu pita wikipedia na sio Toyota global, huzikuti. Hizo Mark II sijui Chaser, balloon, Mark X sijawahi ziona mpaka leo.
 
Nakunya hapa mpaka Mwaisela 😁😁😁
Temea mate chini mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. mtu mzito huyo. Angalia usitupe kazi ya kuzoa kinyesi cha mtu mzima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Parking yake imejaa pale BMW M4, BMW M3, S CLASS 650 hataki utani, Crown ya kubebe maziwa ya paka wake ndani ...
 
Atakuwa Billionea flani basi 😁
 
Ila wajerumani wameweka zote kwa sababu zinatosha πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Model chache, pia kwenye website design hawashauri kujaza kila kitu, ndio maana kuna sehemu ya kuulizia unachotaka. Hayo ni mambo ya user interface ili website isiwe ngumu kwa mtembeleaji pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…