Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Duh mafisadi wakipiga hela sijui hawaonagi madude kama haya wayaweke road kutupa hasira wanyonge?

Mi mwenyewe hii sijaiona bongo kabisa,LS 2013 ndio nimeiona pale St.Petersburg church.
Ya 2012 bei yake imepoa. Huu umeme wa 2019 haushikiki. Mafisadi wengi hawajui class! Hukimbilia LC200 V8 au Nissan Patrol mayai ila huu umeme wa Lexus sio wa mchezo. Dege la chini hili mi ningemiliki ili kujitofautisha na watu wote mjini. Nikitokeza mahali ni ID!
 
Nahisi kachanganya na camry huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hio LS500 bei yake ni zaidi ya VX V8 nyingi hapa mjini.
Kuna moja ya mwaka 2017, Lexus Ls F sport ni $153,200.. ambayo naona kidogo wajerumani waje mpambanisha na s class... sio hizo taka taka zao zingine.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanakimbilia hayo si bei cheee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Lexus Ls bei yake sio ya kinyonge πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mjerumani hafui dafu sokoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bei ya Lexus ni mkasi ndio maana hata Bongo Lexus sio nyingi esp. hizi sedan models.
Nyingi ni Harrier /Lexus RX na zile LX zinazoendana na Land Cruiser! ndio walau zinanunulika
 
Mjerumani hafui dafu sokoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bei ya Lexus ni mkasi ndio maana hata Bongo Lexus sio nyingi esp. hizi sedan models.
Nyingi ni Harrier /Lexus RX na zile LX zinazoendana na Land Cruiser!
Ile gari hata ukiangalia hata sehemu za ndani, unaona kabisa imesimama haswaaa.. nahisi ukiingia humo.. dah sipati picha yani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. hii naona wakuiweka na ligi na kama S class maybach nitawalekewa. Ila wasiivunjie heshima kwa kulinganisha na BMW zao za X5 za mwaka 2000 πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ngoja nipite kimya kimya hapa
 
Hahahah acha tu mzee, ndio maana mtu anapompondea mjapani huwa nasikitika sana, kuna gari za mjapani na kuna usafiri wa kijapani. Wengi wetu tunamiliki usafiri wa kijapani kundi ambalo wanamiliki gari za mjapani ni wachache mno na hao hawaonekani sababu bei ya magari yao ni balaa. Ila unakuta conclusion ya ride comfort and quality inachukuliwa kwenye low end segement na kuwa generalized ati Toyota ni takataka tu. Holly Ghost!!!

Kundi pinzani la wanaoshabikia ujerumani nao wanavutia kamba kwao. Mjerumani ana gari na usafiri pia sema wabongo wengi wana afford gari za kijerumani kuliko usafiri wa kijerumani ndio maana matambo hayaishi sababu bei na kodi ziko chini 😁😁😁
 
Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
 
Hapa umemaliza kila kitu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, hawa wa german wa humu hutokaa uwasikie wanaongelea Porshe, Ferrari, Astorn martin, au bentley, wao wanakomaa na BMW tu ambayo ni gari ya kawaida sanaaaa.. inabidi wajitafakari na majivuno yao.. BMW machalii kibao wanazo yani humu.. ila ukiingia yani, unaona bora urudi kwenye spacio yako.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Hiyo ni strategy ya kibiashara tu mkuu. Lakini sio kwamba BMW ni bora zaidi ya TOYOTA. Hawana tofauti yoyote. Na ukitaka kujua linganisha gari zinazo endana hata kama utakuta yofauti ni ndogo ndogo sana..
 
Hiyo ni strategy ya kibiashara tu mkuu. Lakini sio kwamba BMW ni bora zaidi ya TOYOTA. Hawana tofauti yoyote. Na ukitaka kujua linganisha gari zinazo endana hata kama utakuta yofauti ni ndogo ndogo sana..
Ni kweli kuna gari tunaletewa huku Tanzania ukiingia kwenye website ya Toyota hata huzikuti yaani sio official (Noah, brevis, progress, opa, raumu, Ist, Sienta, Porte, Vitz). Ila wametoa na sisi tuishi humo.
 
[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1696540
Hiki ndio kitu pekee mjerumani anaweza mtambia Toyota Japan. Ukiondoa hio speed limiter hio BMW itaachwa uchi mapema sana na Toyota yenye engine sawa na hio.

Ila pia kwa kukabiliana na hili Toyota ana Division inayodeal na Luxury cars za kupambana na hao Europeans makes i.e Lexus ambaye ana extension ya Speed zaidi ya 250KPH
 
Mjapana ana gari bora hata huyo mzungu hagusi baadhi ya brand zake.. sema bei nazo zinakuwa za moto. Cheki Lexus Ls series uone moto wake hata kuna gari za ulaya zina soma namba kwa kila idara pale
Ni kweli mkuu, Lexus ni mashine, hizo ulaya, uarabuni kote wanatumia, zina standard. Huku kwetu Lexus ni chache kwa sababu ya uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…