Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?

Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!

Unaijua Toyota Celsior?
 
Ni kweli kuna gari tunaletewa huku Tanzania ukiingia kwenye website ya Toyota hata huzikuti yaani sio official (Noah, brevis, progress, opa, raumu, Ist, Sienta, Porte, Vitz). Ila wametoa na sisi tuishi humo.
Wanajua hali za kiuchumi kwa ukanda wetu huu. Wakileta vyuma vyenyewe wachache wana aford. Ila wana vyuma haswaaa ukikaa ndani unaona kweli umekaa kwenye gari
 
Jamaa mwenye hizi thread anaijua crown au anaisikia. Akaangalia crown athlete ya 2010 ni bei gani na bmw series 5 ya the same year ni bei gani. Crown inauzwa bei ghali kuliko bmw. Na ina sensors za kutosha
Mkuu mendex crown ni mashine sipingani na wewe, lakini hizi crown za bongo hata hazishtui.
 
Ni kweli mkuu, Lexus ni mashine, hizo ulaya, uarabuni kote wanatumia, zina standard. Huku kwetu Lexus ni chache kwa sababu ya uoga.
Sio uoga mkuu bei yake ni hatari, kuna moja jamaa kaipandisha hapo inauzwa 350M+ hapo bado kodi!

Hivi 350M ni IST ngapi? Ni Crown ngapi za 17M hapo? Ni Rumion ngapi? All packed in a single Car!
 


hivi unafikiri nani hapendi vitu vizuri?
Kuna mtu hapendi kuishi kwenye nyumba nzuri, Kuna mtu hapendi watoto wake wasome shule nzuri, kuna mtu hapendi kuendesha gari zuri? nk

Ukisha maliza masomo ukakaa mtaani kwa miaka miwili tu uje tena hapa utupe mrejesho kama Vitz ni gari la kishamba au ni one of the Best car in town
Kua uyaone!!!
H
 
Wanajivuna na dashboard πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... assume ingine kama ya 2JZ-GTE, ingekuwa ya wazungu wa Jf tusingelala ila wajapan tumesitiaha hiyo ndio wajua kwamba viwangi vyao bado sanaaa
 
Ishu sio mass production! Umeshawahi kuendesha high end Toyota car? Hata kama ni ya zamani kidogo?

Tatizo mnaendesha Low end Cars mnazifananisha na High-ends za Mjerumani. Halafu mnaleta ushabiki mandazi usio na maana!

Unaijua Toyota Celsior?
Mtu analinganisha Carina Ti na BMW X5 . Alafu anakuja tukana Toyota zote.. ni sawa na mie nikaendesha ki mini bmw alafu nilinganishe na Crown Royalsaloon πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanajua hali za kiuchumi kwa ukanda wetu huu. Wakileta vyuma vyenyewe wachache wana aford. Ila wana vyuma haswaaa ukikaa ndani unaona kweli umekaa kwenye gari
Sasa watz wenzangu hasa hapa JF wanachukua gari iliyopo kwenye Homepage kabisa ya BMW / AUDI /VW halafu wanapambanisha na gari ambayo TOYOTA hawajaiweka hata kwenye website yao yaani hata ukisearch hakuna viashiria kama wanatengeneza hiyo gari . Ndio wanazishindanishaa πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Lexus ni Lexus na Toyota ni Toyota.

Hayo ni makampuni mawili tofauti na yana objective tofauti.

Ongelea bidhaa za Toyota na sio za Lexus.
Sio makampuni tofauti bro, Lexus ni division tu! Ni sawa uwe na kiwanda chako uzalishe bidhaa ya kuuza mkoa mzima halafu uwe na nyingine classic zaidi ya kuuza Oysterbay, Masaki, Mbezi na Mikocheni tu!

Ndio alichokifanya Toyota na kiwanda ni hiko hiko kimoja.
 
Na wajerumani wa Jf ukitoa chombo kule kama Toyota Tundra wana kukatalia wanasema hiyo ni ya usa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. kama ni toleo la usa imebadilika na kuwa brand ingine πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wanachekeshaga sana hawa wajerumani wetu.. ila tuishi nao tu
 
Hasira za kumiliki Brevis ( Jini mnyonya damu) alafu unaliuza bei ya kitonga na bado wateja huwaoni!

Unaamua kuzitolea JF....
Jini mnyonya damu, asee jina jipya nimesikia πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… .
 
Mtu analinganisha Carina Ti na BMW X5 . Alafu anakuja tukana Toyota zote.. ni sawa na mie nikaendesha ki mini bmw alafu nilinganishe na Crown Royalsaloon πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unaskia haiko stable barabarani, sasa gari ina shockup za bei rahisi itakuwaje sawa na gari yenye air-suspension? 😁😁😁

Hapa ndipo tunapopishana uchambuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…