antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mpendae ni wapi?
Na huyu jamaa ameumia katika ajali?
Mpendae ipo ZenjiHuyo mbungew anaitwa nani na mpemdae ni wapi, Kenya au Tanzania?
Sasa hiyo ni ajali ya kuripoti mitandaoni, si kapigwa pasi tu huyo? Au nia yako ilikuwa kuitaja hiyo million 900?
Punguwani waheda.
Mbunge ana wananchi Elfu Mbili analipwa milioni 18 kwa mwezi sawa na Mbunge wa Ilala mwenye Wananchi milioni 3.Gari ya Mbunge wa Mpendae yadaiwa kupata ajali, ina thamani ya milion 900
TUNAMTAKIA POLE NA TUNATUMAI ATAKUA HAKUUUMIA.
View attachment 3025067
View attachment 3025068View attachment 3025069
Kwa gharama za wanyonge!Niliona mahojiano yake juzi akiwa nyumbani kwake,jamaa anaishi kidoni sana.
Daa jamaa itakuwa ana ukwasi wa kutishaHuyo ni MWANASIASA!
KoDI sh ngapi? Ama jumla na kodi hiyo?Hizo gari ni usd 143,000 hadi 147,000 sawa na Tsh 390,000,000 hadi 420,000,000 kutegemeana na exchange rate.
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imesema kampuni ya mifuko Turky inayomilikiwa na mfanyabiashara na Mbunge wa Mpendae CCM, Toufky Salim Turky, imewasilisha maombi ya kutaka tathimini ya deni la kodi ya gari la kifahari aina ya Benzi la Tsh.milioni 308.5Hizo gari ni usd 143,000 hadi 147,000 sawa na Tsh 390,000,000 hadi 420,000,000 kutegemeana na exchange rate.
Acha ujinga mkuu... huijui Zanzibar vizuri. Unfananishaje mtaa wa jimbo?. Jimbo ni jimbo tu. Mpendae kubwa sana. Ila jamaa huyo touwfiq ana fedha nyingi sana pale Zanzibar. Ana msafara mkubwa hata tais wa nchi hii hanaSasa Zanzibar jimbo zima ni sawa na mtaa huku Tanganyika.
Milioni 900 duuh hizi thamani za magari mnazitoa wapi au mnasikiliza watu wa Tamisemi na bajeti yao ya kutuibia nanyi mnatembea nayo...
Huyo huyo. Oa weweesi toufiq salim turky huyu ?
mzee wa kodi ya 380m ?Huyo huyo. Oa wewee
Hata iwe imeandikwa Class 7 au Grade 10, sioni milioni 900 hapo, gari imemang’anyuka kama keki?!zingatia neno G-Class/ G-wagon kabla ya kutaja toyota iwayo yote
Ukinunua funga hata kwenye ist,utakua unasepa balaaSawa, wacha tunujue engine hizo..
Atalipwa na BIMA,hata hivyo hiyo gari haujateketea,labda kama mleta taarifa kachukua picha ya gari jingineMilioni mia tisa ni hela ya mstaafu wa ngazi gani? Hizo hela unajenga nyumba kali ya kuishi itakayodumu miaka zaidi ya mia moja lakini zimeteketea kwa muda mfupi! Hii ni kufuru
Nyumba anayokaa hatari sana, ilijengwa na kampuni kutoka Italy! Hapa ndiyo nilijua ule msemo huuHiyo ni gari tu hujagusa nyumba anayolala..