Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Hiyo gari alikua anadaiwa kodi Tsh 300m yeye anunue 300m ni 600 hiyo hapa unazungumzia nini?na TRA walitangaza kutaka kuuza na walitangaza kodi inayodaiwa..
Ndio maana kwenye ufafanuzi wangu nimesema na nimeweka bei ya mpya na G63, hio yake historia yake siijui, ila hii stori ya kudaiwa naikumbuka ili trend kipindi fulani.
 
Ndio maana kwenye ufafanuzi wangu nimesema na nimeweka bei ya mpya na G63, hio yake historia yake siijui, ila hii stori ya kudaiwa naikumbuka ili trend kipindi fulani.
Mkuu gari iliyogongwa sio hiyo unayoiweka wewe ya 2024 hiyo ipo Germany..
Poa nimekuekewa uwe na siku njema ila hiyo G Class naikubali sana dashboard yake, Balance pamoja na Comfort mimi Mercedes siwezi kuwakosoa ni watu waliokamilika sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…