Gari yangu inakimbia sana!

Kaka una premio old model?
Tupe hints za hyo gari kweny spare na wese...naikubali hyo chuma sanaa
Ziko aina tatu Premio F, X na G

F ina cc 1490
X ina cc 1790
G ina cc 1990.

Inategemea na matumizi yako, kama ni mtu wa masafa marefu ya mkoa kwa mkoa nunua X imetulia sana barabarani na fuel consumption yake sio kubwa sana.
Kama ni route za karibu karibu basi F inakufaa.

Kuhusu Spare ondoa shaka kabisa, spare zake nyingi zinaingiliana na baadhi ya toyota cars. Mfano Toyota Allion inaingiliana spare na premio kwa asilimia kubwa sana.

Nnayo mwaka wa tatu sasa, sina plan ya kuuza wala kupaki.
 
unayo F au vp kuhusu consumption yake?
 
Unamiliki passo afu unatangaza hadharan!!! Kuendesha passo ni aibu kubwa mno na fedheha!!!

Passo sio gari,, passo ni bajaji yenye tairi nne,,, passo ikichoka inatapikaga na kutema piston kama mama mjamzto!!! Utashangaa ka piston kameruka kuleeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wengine uliwapa taarifa kuwa mnashindana?? Au ukiwapita tu tayari una assume gari lako linakimbia kuliko wao??
 
Acha hiyo tabia! Endesha kwa mwendo Kasi pale tu kunapokuwa na uhitaji huo. Kamwe usifanye hivyo kwa lengo la kushindana na wengine. Ni ushauri tu lakini.
 
Kwanza ujue unaendesha mabati tu yenye Matairi manne, ndugu mtoa Mada! [emoji23][emoji23][emoji1787]
 
passo ni bajaji iliyochangamka njoo tukimbizane hii carina Ti uone utakacho ambulia
 
Uw
uwe vizuri kwenye control la sivyo utakuwa mgeni wa mortil!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…