Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Unanikwepa. Haujajibu reply yangu.Naomba race na mtu wa dar anaejua kupiga gia, km 30 tu zinatosha, race ya muda au atakae wahi kufinish!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanikwepa. Haujajibu reply yangu.Naomba race na mtu wa dar anaejua kupiga gia, km 30 tu zinatosha, race ya muda au atakae wahi kufinish!
Ile ya petrol yenye 3.5L ina 415hp,hiyo V8 5.7L inaizidi V6 ya diesel yenye 3.3L.5.7L v8 Ina somewhere 381hp hio v6 Ina ngapi
hapana nilikuw nachangamsha gang... Napenda sana ku drive... Na ku show skills... lakn ata iyo ndinga sina boy i...Unanikwepa. Haujajibu reply yangu.
Ziko aina tatu Premio F, X na GKaka una premio old model?
Tupe hints za hyo gari kweny spare na wese...naikubali hyo chuma sanaa
unayo F au vp kuhusu consumption yake?Ziko aina tatu Premio F, X na G
F ina cc 1490
X ina cc 1790
G ina cc 1990.
Inategemea na matumizi yako, kama ni mtu wa masafa marefu ya mkoa kwa mkoa nunua X imetulia sana barabarani na fuel consumption yake sio kubwa sana.
Kama ni route za karibu karibu basi F inakufaa.
Kuhusu Spare ondoa shaka kabisa, spare zake nyingi zinaingiliana na baadhi ya toyota cars. Mfano Toyota Allion inaingiliana spare na premio kwa asilimia kubwa sana.
Nnayo mwaka wa tatu sasa, sina plan ya kuuza wala kupaki.
Hapana nnayo X, hiyo F fuel consumption yake ni kama ya Raum, Run X, Allex etc.unayo F au vp kuhusu consumption yake?
Where is the pointIle ya petrol yenye 3.5L ina 415hp,hiyo V8 5.7L inaizidi V6 ya diesel yenye 3.3L.
Umemaliza. Movie iishie hapoits not about the car, its the driver
Acha hiyo tabia! Endesha kwa mwendo Kasi pale tu kunapokuwa na uhitaji huo. Kamwe usifanye hivyo kwa lengo la kushindana na wengine. Ni ushauri tu lakini.Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
uwe vizuri kwenye control la sivyo utakuwa mgeni wa mortil!Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya mwaka 2007.
Kwa data nilizonazo (kwa kipindi cha miezi mitatu), nimegundua yafuatayo:
A: Gari nazozionea road, nawakimbiza nawaachia vumbi:
- IST zote
- Sienta, Raum, Runx, Allex, Swift, Nadia, Voltz (tuseme babywoka zote za Toyota)
- Premio na mwenzie Allion
- Nissan Dualis na X-trail
- Rumion
- RAV4 zote (isipokua lile toleo jipya linatumiwa na gari za serikali na ile Hybrid)
B: Gari ambazo nimeshindwa kufukuzana nazo:
C: Gari nazokwenda nazo ugoko kwa ugoko:
- Subaru Forester (model karibu zote)
- Ford Ranger (hii gari noma)
- Toyota Hilux
- Landcruiser (VX na jamii yake)
- ALPHARD (toleo jipya)
- Toyota Fortune
- Discovery
- BMW (japo kuna baadhi navimbiana nao)
- Toyota Crown
- Brevis
- Harrier na Vanguard
- Range Rover
- Subaru Impreza
Sasa hivi focus yangu nijipime na kina Audi, Benz, Volkswagen and the like. Tatizo European cars nazokutana nazo barabarani ni chache sana. Halafu huwa nakutana nazo mida ambayo sipo kwenye kuanzisha ligi.
Changamoto nayopata ni gari inachelewa kuchanganya. Hasa pale taa zikiruhusu ndio wengi wanaponipiga bao. Lakini ikishachanganya nawapoteza karibu wote (ukitoa hao wa kwenye kundi B).
View attachment 2738606
Una maana afya ya akili!Wewe jamaa kuna kipimo inabidi tukufanyie