Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

Nakubalian na wewe mohamedi, tukirudi kuwatazama waislam kwa sasa tuliofungamana mno na upwani. Unaionaje hali hii sabbu historia ishatuachia kovu, nimebahatika kuona namna ambavyo wapwani/waislam tunasafa mno kulinganisha n wenzetu. Hii imewia ugumu hata kupata nafas kubwa katika teuzi nyingi.

Binafsi nashawishika kusema kwamba jitihada hizi hata kama zilizimwa kwa kias kikubwa kwa sasa, pwani inahitaji elimu ya kuipokea elimu iliyopo. Hili suala la uchache wa ajira kwa pwani ishakuw sabbu y kuachana na mambo ya elimu

Nimeona kama si kusikia mzee wa ruksa akitupambania sana kufika sehemu walau na sisi tuwemo. Na pia maendleo ya idadi ya waislam vyuoni n taasisi kubwa nchini z kielim sio mazuri inawez kuwa 30:70 huku ndipo tatizo hili kwa sasa linapotokea
 
Lombo,
Haijatokea mimi kuandika, "pumba."
Soma haya uliyoandika na angali lugha yako.

Rejea kwenye makala yangu yoyote isome na linganisha.
 

Mzee Leo Ameteleza Asamehewe Bure

Ameleta Mada Ambayo Mods Walitakiwa Waifute Haraka Kulinda Heshma Ya Mzee



Vinginevyo Nao Ziro Tolerance Haipo Kwa Wachangiaji
Mzee Ameleta Uzi Ulio Na Ukakasi Hasa Dini
Ken...
Umefanya haraka sana ya kuhukumu.
 
Kwani umekerekwa na nini?
 
Mzee Mohamed, Mimi nimekulia Temeke,ukweli ni kuwa wazawa was huko hawaapedi Elimu Dunia,hawana mwamko, sijui linahusiana vipi na Nyerere na Uhuru,baada ya miaka 60?
Mbona UNICEF waliingia Kisarawe miaka 2000s na ufaulu ukaapanda Sana ...hapo Historia na ukandimizwaji wa Waisaam ilikuwa wapi!?
 
Halafu ungetueleza hapa,kinagaubaga kuwa ulitaka Historia iwataje kina nani ..ambao unafikiri.hawakuyendewa haki!
Ukiacha mbali Bibi Titi.
Hizi story kiwa Nyerere alipewa pa kuishi na Sykes ,tumeshazissikia Sana,au MamaNyerere alianzishiwa biashara ya Duka na ....!
Isitoshe kwq Mwafrika hayo.ni Mambo ya kawaida!
Kwenye historian za maisha yao ...familia ndio wataandikkaalakini sio suala la Kitaifa!
 
Ni imani yangu huyu mzee mleta mada ataanza kufikiri kwa usahihi nje kabisa ya udini
 
Walibaguliwaje?Mzee Kawawa alikuwa Mkristo?na kama wanabaguliwa wakina Samia,Majaliwa,Kikwete walifikaje hizo ngazi za uongozi?achilia mbali Vyombo vya usalama.
 
Tk...
Hakika soma mchango wa masheikh waliokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika utajifuunza mengi.

Sina sababu ya kujificha.
Jina langu liko hapa.

Uliyejificha ni wewe.
Nini kinakutisha?
Tunashukuru walipigania uhuru..inatosha unataka nini zaidi..tuwajengee sanamu k.koo ama?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna baadhi ya dini wapo kama wamachinga wanataka kufanya biashara kila sehemu na wanaona ni haki yao hata uwaelimishe vipi wanaona aananyanyaswa
 
Nilishawahi kukuambia hapo nyuma, punguza udini hii nchi ni ya watanzania wote.
 
Kwahiyo mzee ulitakaje yani..lengo lako nini hasa au kiu yako hasa ni nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu anayoonekana..kwanza anataka taifa liwe la kiislamu..hataki na haupendi ukristo..kiufupi ni mdini ila anajifichwa kwenye vi historia vyake uchwara..namtaarifu tu akae alee wajukuu Tanzania ni kubwa sana kuliko yeye na hizo ideology zake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu mzee mpumbafu anazeeka vibaya..atambue hii nchi sio nchi ya kidini..ni non secular country.

#MaendeleoHayanaChama
 
Walibaguliwa vipi?..kama watoto hampeleki shule mana wakririsha elimu akera..unadhani nchi inaendeshwa na elimu akhera..pelekeni watoto shule muache kulalamika..serikali sio msikiti...elimu dunia inahitajika...hii nchi yetu sote

#MaendeleoHayanaChama
 
Endeleeni kukereketwa mkuu.
Ila hata mkereketwe vipi ,misikiti haijengwi Udom.

Udom siyo madrasa za waislamu.


Na baba wa taifa ni Nyerere mkuu.
Walitaka awe sykes..dah basi awe baba wa taifa wa pili?..lunatics

#MaendeleoHayanaChama
 
Nashukuru kwa kulitambua hili..jamii nyingi za pwani elimu dunia sio kipaumbele chao kabisa hata sasahivi..ni huwezi lingamisha na jamii za kikristo..ndio mana nasema pelekeni watoto shule muache kulia lia..serikali haindeshwi na elimu akhera.

#MaendeleoHayanaChama
 
Lombo,
Unajua mjadala huu uko hapa kwa miaka mingi sana na chanzo chake ni kutokuandikwa kwa historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli.

Unachokifanya wewe ni kuturudisha kule tulikotoka.

Kitabu cha Abdul Sykes si mzaha.

Nyaraka nilizotumia kuandika kitabu hiki ni nyaraka za akina Sykes na zinaeleza historia ya African Association kuanzia 1929 Kleist Sykes akiwa Katibu muasisi.

Baada ya kuandika kitabu hicho niliingizwa katika miradi miwili ya kuandika historia ya Afrika - wa kwanza kutoka Oxford University Press Nairobi (2007) na wa pili mradi wa Dictionary of African Biography mradi wa Harvard na Oxford University Press New York (2011).

Kutoka hapo nimeandika vitabu 10 na nimepewa tuzo 3.

Usidhani niandikayo ni mambo ya mashkara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…