Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

CCM haikuimarika wakati wa Magufuli, labda useme ilishikamanisha zaidi na vyombo vya Dola ili kutisha watu.
 

Huo usawa mnataka mpewe kama zawadi?? , kama mnaona hicho ndio kikwazo pambania kwanza huo usawa Sasa , then Mambo Mengi ndio yafuate!!
 
Umenena kweli tupu,

Utaratibu wa aina ya kiongozi kama huyu ufutwe mara moja.....................

Wanaomshabikia na kumsifu kila kukicha ni kwa sababu ya matumbo yao; wakati walio kimya wana hasira zisizoelezeka
Correct
 

Afu mimi sio CCM
 
"(...labda atumie state apparatus)"

Hili ni jambo la kawaida kwa ccm, mwendazake alikuwa muumini wa haya mambo.
 
CCM hakuna mtu anaitaka. Mmesahau kuwa hata Magufuli aliingizwa kugombea 2015 ili kuokoa jahazi, lakin bado ikawa ngumu wakaishia kuiba kura! Ndo iwe mama. CCM imekufa, imebaki polisi na usalama tu.
 
Napita tu. ila umetohoa
 
Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!

Na mama anaenda kukata mirija yenu yote mliyojiwekea na Marehemu wenu. Polee sana

Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama huwezi vumilia rudi kwenu tu Burundi
Kweli SAMIA anaendelea kuwa Rais wetu mpendwa, tena vyama vya upinzani visijisumbuwe kusimamisha wagombea ngazi yoyote maana vitakuwa vinajisumbua.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kivipi bwashee
Huyo sukuma genge mwenzako si ndiye aliyekuwa dicteta wa kutupwa alipendwa na nani c alikuwa analazimishwa tu kupendwa huku akitumia vyombo vya dola ,vilivyokuwa vikimsaidia kutesa na kupoteza watu na kutia maiti kwenye vipolo na kutupa baharini hayo hamuyaoni nyinyi sukuma genge .kwa tarifa yako hakuna aliyekuwa anampenda magufuli ila watu wanamuogopa magufuli na vyombo vyake vya dola alivyokuwa akivitumia vibaya, ujuwe hivyo ndivyo ilivyokuwa
 
Sijakuelewa. Hebu rudia upya.
 
watu hawana ham na huyu mama tena, sjui kama wataweka mwanamke tena next time


Hapa ndipo nilikuwa napasubiri .

Kwa hiyo mnamsakama sababu ya jinsia yake kuwa ni mwanamke ?

Mnakosea sana kama ni hivyo.

Hivi wewe na wale wote wenye kuathiriwa na mfumodume niwaulize;

Nchi hii tangu ipate Uhuru yapata miaka 60 sasa, Je Viongozi wakuu wa nchi walikuwa wajinsia gani?

Je walikuwa wanaume au wanawake?

Je walotufikisha hapa tukiwa hatuna maji wala umeme ni Viongozi wanaume au wanawake?

Ifahamike kuwa ukosefu wa huduma ya maji na umeme unaathiri maendeleo ya uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

Weaknesses nyingine zimekuwa inherited toka nyuma , sasa tumpe muda afanye kazi.

Mwanzo wa ngoma lele.

Huyu kiongozi mwanamke ana miezi michache tu kumhukumu kuwa hatoshi ni kutomtendea haki.

Tumpe muda afanyekazi atumikie waTZ na wasio waTZ kwa mujibu.

Ni afadhali kumjadili na kumkosoa kama mtu/binadamu lakini mkitaka kumhukumu kwa jinsia yake haitakubalika kabisa na si haki.

Go Samia go [emoji123]

Never loose hope Samia ,

Unaweza Samia [emoji123]

Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!

InshaAllah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…