Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Naunga mkono hoja. Samia tumuombee mungu nchi isitekwe na fisadi na mabeberu. Wamerukia na kumzunguka kwa nguvu na kwa papara.
Maskini samia sio hodari na mjuzi wa hila za vibaraka. Tumuombee aweze kutufikisha 2025 salama tuweze chagua magufuli mpya.
 
Mama tupo pamoja na wewe, unafanya kazi nzuri tunaifurahia.

#Tunakupenda sana Mama yetu SSH
 
CCM siku zote w anashinda kwa state apparatus.... Hata magufuli nae hakuwa na mvuto kiasi icho kisiasa
 
Naona Mijadala ni Kati ya sukuma gang Na Urojo gang endeleeni Na mijadala isiyo Na tija. Tunataka maendeleo kila mmoja awajibike kwenye nafasi yake.
 
Ccm hawatakuelewa hasa vijana wa mama KAUPIGA MWINGI, ila *TIME HEALS ALL WOUNDS * Urais sio lele mama hasa katika Taifa linalohitaji mabadiliko ya haraka kama Tz, then anakuja mtu kuhitaji Huruma ya wananchi! [emoji12][emoji2957][emoji1787] mama bwana!! uongozi ni uwezo wa 'A' ambao mama hana, afu anatuambia anaangushiwa majumba[emoji849]. 2025 ni mpango wa Allah kwa taifa hili.[emoji871][emoji1824]
 
Kama Kuna mwanasiasa makini ukanda huu wa SADC ni Samia
 
Iko wazi!Haipingwi....Sheria!
 
tar 15 sept 2021 alisema "Wameanza kutuchokoza, wameanza kutuchokoza, wanaandika kwenye vigaezeti Samia hatagombea nani kawaambia sitagombea, nitagombea 2025, wanawake hoyeeeee". fadhila za MUngu zikija mikononi mwako usiziache.
Kama kama mpinzani wa Samia atatoka ccm na chama kikasema mama hakupita kwenye mchujo wa nec ya ccm na kushindanishwa na wenzio na sasa wanaruhusiwa kuanza mchakato upya labda atapata upinzani ila akivuka hiyo hatua sioni cha kumzuia asiwe rais 2025 kama mfumo ni uleule uliokuwepo ukiendelea kuwepo
 
Kwani Jpm 2020 alishinda?

Mama anaupiga mwingi

Sukuma gang make kwa kutulia.
Iv wengine hamko Tanzanian yangu nn mbona kipindi cha magu kila kitu lilikua wazi em nipe Sera moja ya upinzani kweny kampen ukiachana na risasi za risu
 

umeona kilichomtokea mbagala? imebidi chopa tatu zije kurescue: unapokua kiongozi unakua upande wa wapiga kura wako mda wote pamoja na kuwatetea, Wananchi wa ndan na nje ya nchi ambao ni raia wa tanzania wanatakiwa kupata faraja kupitia wewe kama raisi, inawezekana vp leo unafukuza watu walio na hali duni ya kiuchumi ili kupata sehem za kupigia picha kuvutuia wazungu ambao hata nchi sio yao
 
Iv wengine hamko Tanzanian yangu nn mbona kipindi cha magu kila kitu lilikua wazi em nipe Sera moja ya upinzani kweny kampen ukiachana na risasi za risu


Elimu bure jamaa aliidesa toka cdm n.k.

An average person hawezi kuubeza uwepo wa vyama pinzani kabisa kabisa hususa bungeni.

Unaona Safari hii bunge limekosa amshaamsha kabisa?!

Mashine zinakosekana!
 
Mimi niliwaambia siku nyingi kuwa wanaosema samia 2030 wanachekesha kwa sababu magufuli legacy ni very very very real ,hata akimaliza hii mitano ni bahati tu maana alijitakia mwenyewe kukumbatia WAHUNI dhidi ya LEGACY ZA KIZARENDO
 
Kwani Jpm 2020 alishinda?

Mama anaupiga mwingi

Sukuma gang make kwa kutulia.
Kama hakushinda waulize wapigania chanjo kwanini chanjo zimedoda wakati makada wa chadema ni mamilioni hii inamaanisha magufuli anasikilizwa hadi sasa ,muhulize mbowe kwanini machadema yamefuata mwongozo wa jpm dhidi ya gaidi mbowe aliye sema chanjo iwe lazima
 
Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!

Na mama anaenda kukata mirija yenu yote mliyojiwekea na Marehemu wenu. Polee sana

Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama huwezi vumilia rudi kwenu tu Burundi
Fisadi unamchekelea mama kwa kuwa mmemwona ni zuzu .....lakini mkae mkijua nyinyi wahuni lazima tuwamalize tu
 
Hivi unatumia kichwa kufikiri au?! CCM ya kikwete wanachama walikuwa wakizomewa kila mahali, leo wanachama hawaogopi kuvaa sare zao sehemu yeyote. JPM karudisha Mali zote za chama zilizokuwa zimechukuliwa na wajanja wachache ndani ya chama. Amekifanya Chama kujitegemea kimapato ili kuepuka kuwa omba omba kwa wafanyabiashara.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…