Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Kwani Jpm 2020 alishinda?

Mama anaupiga mwingi

Sukuma gang make kwa kutulia.
 
Umenena kweli tupu,

Utaratibu wa aina ya kiongozi kama huyu ufutwe mara moja.....................

Wanaomshabikia na kumsifu kila kukicha ni kwa sababu ya matumbo yao; wakati walio kimya wana hasira zisizoelezeka
 
Sasa hapo:
-hatogombea ?
au
-hatoshinda?
 
Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!

Na mama anaenda kukata mirija yenu yote mliyojiwekea na Marehemu wenu. Polee sana

Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama huwezi vumilia rudi kwenu tu Burundi
 
Babo nina Imani na Mama ataliponya taifa, baada ya shinikizo kubwa wafuasi mwendazake na wafuasi wa JK, Sasa anaanza kujipanga kwa mtazamo wake, tumpe muda na tumuombee.
 

Unaongea kama vile uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru. Kama Magufuli alikuwa mzuri kwanini uchaguzi ulikuwa wa wizi wa kura, kutumia polisi na usalama wa taifa?
 
Mimi niko na Samia Suluhu Hassan lakini afagilie mbali hawa Mataga.

Sisi kama Wapinzani tunataka CCM asilia tunayoijua ile ya akina Kinana na Nape.

Na sio ile ya Wauwaji wa Kihutu iliyokuwa ikiongozwa na Magufuli
 
Magufuli hakuimarisha CCM bali aliiua kabisa ikabaki kutegemea vyombo vya dola. Ndio maana aliharibu chaguzi zote na ukichaa wake. Mafisadi hajawahi kuisha çcm sema wanapeana zamu. Wakati wa Magufuli mafisadi walipiga kimagufulimagufuli na sasa wanapiga kizenjzenj
 


Hata Magufuli mwenyewe kama si kwa msaada (wa States apparatus) asingepata hata robo ya kura,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…