Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Kivipi bwasheeSukuma gang unajitesa bure!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi bwasheeSukuma gang unajitesa bure!
Kwani Jpm 2020 alishinda?Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye ufisadi, udhaifu na mauchafu ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Umenena kweli tupu,Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwahiyo Lissu ndio alishinda?Kwani Jpm 2020 alishinda?
Sasa hapo:Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Jibu swali langu kwanzaKwahiyo Lissu ndio alishinda?
Unajidanganya dogo!Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!
Na mama anaenda kukata mirija yenu yote mliyojiwekea na Marehemu wenu. Polee sana
Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama huwezi vumilia rudi kwenu tu Burundi
Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye ufisadi, udhaifu na mauchafu ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Akigombea atashinda kwa sababu state apparatus zitamshindisha. That is obvious.Sasa hapo:
-hatogombea ?
au
-hatoshinda?
Magufuli hakuimarisha CCM bali aliiua kabisa ikabaki kutegemea vyombo vya dola. Ndio maana aliharibu chaguzi zote na ukichaa wake. Mafisadi hajawahi kuisha çcm sema wanapeana zamu. Wakati wa Magufuli mafisadi walipiga kimagufulimagufuli na sasa wanapiga kizenjzenjNawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye ufisadi, udhaifu na mauchafu ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye ufisadi, udhaifu na mauchafu ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Kwa akili yako ulitarajia kabisa Lissu ashinde? Hata kwa kutumia tume huru?Unaongea kama vile uchaguzi wa 2020 ulikuwa huru. Kama Magufuli alikuwa mzuri kwanini uchaguzi ulikuwa wa wizi wa kura, kutumia polisi na usalama wa taifa?